Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Nionyeshe Jimbo hata moja lenye maendeleo maana yake kuwa na maendeleo lina sera mbalimbali bora kabisa hapo jimboni. 1. Huduma bora za afya 2. Sera nzuri ya ajira, hakuna tati la ajira. 3. Sera...
4 Reactions
26 Replies
750 Views
Kumbe Serikali inataka hata kwenye kesi ya Bonny Yai na Godlisten Malissa napo kuwe na Mashahidi wa Siri. Mahakama ya Kisutu ilitupilia mbali hoja hiyo ya Mwendesha mashitaka, Serikali imekata...
17 Reactions
53 Replies
3K Views
0 Reactions
0 Replies
218 Views
Friends and our Enemies, Kipindi kile akiwa mwenezi wa JPM pole pole huyu ambae mimi namuona ni popo,msimamo wake ni kuwa lisu ni kibaraka na anatumwa na wazungu waje kuharibu nchi yetu...
1 Reactions
39 Replies
1K Views
Siku chache baada ya kutangaza kujiuzulu Ubalozi wa Tanzania nchini Cuba na visiwa vya Jirani, Kada wa CCM na aliyewahi kuwa Katibu Mwenezi wa chama hicho wakati wa utawawala wa hayati Rais...
19 Reactions
86 Replies
6K Views
Hiyo ni kanuni muhimu ya uwajibikaji wa pamoja ndani ya CCM Akabidhi KADI ya Uanachama na aende huko anakoona kinamfaa
0 Reactions
23 Replies
1K Views
HAKUNA GROUP POWER , hasa kwenye nchi zetu hizi za kishenzi! CCM inapokuwa kweye vikao, kuna mtu yuko juu. Kila member humo, particularly vinavyoendeshwa na Samia, kila mshiriki anaangali mdomo...
2 Reactions
1 Replies
314 Views
Hayawi hayawi sasa yamekuwa, hatimaye Polepole ameweza kufanya press yake ya kwanza na kwa hakika mambo matatu muhimu amefanikiwa kuyafanya. Jambo la kwanza Polepole amefanikiwa kuvuta ushawishi...
12 Reactions
4 Replies
614 Views
Naomba kusaidiwa na wanasheria nguli waliomo humu jf na msaada wenyewe ni kuhusu kanuni za ushahidi zilizokuwa gazetted jana tarehe 17 July 2025. Kanuni hizi zinawezaje kuwa applicable kwenye...
0 Reactions
0 Replies
503 Views
Mwaka 1992 ambapo inadaiwa siasa za ushindani zilirejeshwa tena nchini, raia wengi (80%) inasemekana walikuwa wanataka mfumo wa chama kimoja uendelee lakini CCM ikafanya jambo la nadra sana...
7 Reactions
15 Replies
794 Views
Hizi ni aina ya sms nazoipata nyingi sana kutoka kwa watu tofauti tofauti wakiuliza kwanini siongelei mambo ya siasa ya sasa ya nchini yafuatayo ndo majibu yangu πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡ Fahamu kwamba katika point...
2 Reactions
14 Replies
707 Views
kuna watu nawashangaa sana wanafikiria kutengeneza matokeo yanayoteka mioyo ya watu huwa ni suala la kukurupuka tu ety na mm nataka nifuate ya kwangu haiwezekani kuna watu waliletwa Duniani...
2 Reactions
21 Replies
3K Views
Ni ushauri wa bure kwa mujibu wa Sheria na kanuni za umma. Kushindwa kufanya hivyo kunaweza kuhesabiwa ni jinai na hivyo waweza ingia kwenye shida
0 Reactions
1 Replies
276 Views
Nimekutana nayo mahali ila sijajua iko genuine kiasi gani, naona network kwangu iko chinii sana sana https://us06web.zoom.us/j/6818807495?pwd=Eu5qlqorqlOEchz9zkqEhjKW7GsbHv.1&omn=81835714199...
8 Reactions
151 Replies
10K Views
Akiongea Kwa tahadhari Polepole kasema si sawa CCM kuwakumbatia wahuni. "Unasikia watu wanafanya uhuni halafu wewe unakwenda kuwakumbatia na kusema "Hawa ni rafiki zangu" Kauli kama hiyo iliwahi...
0 Reactions
2 Replies
580 Views
Yapo mapendekezo ya kumteua Majaliwa K. Majaliwa kuwa Makamu Mwenyekiti wa CCM bara. Ipo mipango yakumwandaa Innocent Bashungwa kuwa Waziri Mkuu ajaye endapo CCM itashinda uchaguzi 2025. Endapo...
0 Reactions
12 Replies
998 Views
Hellow! Mwl Nyerere aliwahi kusema: Bila CCM imara, nchi itatikisika. Leo nimeona mtikisiko wa nchi. Nguvu ilivyotumika tangu Jana kumzuia mtu asifumbue kinywa, nimeanza kujua hatari ya kitu...
2 Reactions
2 Replies
384 Views
Katika mawaziri wakuu ambao hawawezi kuonyesha hata choo walichosimamia kijengwe ni Warioba. Kimsingi, Warioba kaharibikia ukubwani kwa kuunda magenge yenye nia ya kuvuruga amani ya nchi.
9 Reactions
104 Replies
5K Views
Makonda angalau ana ushawishi 60-70% anaweza akamsaidia katika mambo fulani fulani. Kama Makonda naye akiamua kukaa pembeni, aisee shughuli itakuwa pevu.
1 Reactions
21 Replies
1K Views
Naishi Tanzania, lakini sihisi huru. Chini ya utawala wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), najiona kama mtumwa katika nchi yangu mwenyewe. Uhuru tuliourithi kutoka kwa kina Nyerere umebaki historia...
1 Reactions
3 Replies
287 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…