Humphrey Polepole karusha kijembe Kwa Nchimbi kukumbatia wahuni?

Humphrey Polepole karusha kijembe Kwa Nchimbi kukumbatia wahuni?

Allen Kilewella

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2011
Posts
25,944
Reaction score
51,083
Akiongea Kwa tahadhari Polepole kasema si sawa CCM kuwakumbatia wahuni. "Unasikia watu wanafanya uhuni halafu wewe unakwenda kuwakumbatia na kusema "Hawa ni rafiki zangu"

Kauli kama hiyo iliwahi kutolewa na Emmanuel Nchimbi dhidi ya Paul Makomda na Mrisho Gambo wakati Nchimbi alipokuwa Arusha kikazi.
 
Uhuni umekuwa ni jadi yetu hii nchi. Mtu akiongea ukweli ndio anaonekana adui
 
Two seemingly opposing things can be right at the same time

Inawezekana uongozi wa sasa una uhuni mwingi na Polepole yuko sawa kuusema. In fact that is the case.

Lakini pia, Magufuli alifanya uhuni mwingi sana na Polepole hakusema kitu.

Na zaidi, Polepole alimsaidia Magufuli kufanya uhuni.

Sasa hapa swali la kujiuliza ni kuwa, Polepole anachukia uhuni kweli? Au anachukia uhuni ukifanywa na mtu asiye wake tu?
 
Back
Top Bottom