Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Ndugu Watanzania, Urais ni ngazi ya juu kabisa ya uongozi Tanzania, mtu anatakiwa kuishindania, lazima kujua ana maono na nia gani kwa Taifa, hakuna Urais wa viti Maalum, CCM wanatakiwa warudi...
15 Reactions
19 Replies
1K Views
Huenda Polepole hakuwa anaelewa dhana dhima ya karma katika maisha ya kila siku. Lakini kwa kuwa katika press ya leo mara kwa mara amemtaja mwenyezi Mungu, huku akisema yeye ni muumini mzuri wa...
2 Reactions
18 Replies
910 Views
Friends and our Enemies, Hakuna chochote cha maana alichozungumza popo pole pole zaidi ya pumba na kubwabwaja tuh. Unajua hawa the so called sukuma gang na masalia yao still hawaamini kuwa god...
9 Reactions
125 Replies
3K Views
Alipoamua tu kujitetea mwenyewe katika kesi yake ya uhaini, sheria na kanuni za kimahakama ikabidi zibadilishwe haraka haraka. Kweli binadamu hujafa hujaumbika!
0 Reactions
0 Replies
291 Views
Kwanza. Huyu polepole hakusema anaongeA na kina nani!? Press yeyote lazima uwatambue watu wanaokusikiliza au hata kama hawapo(hewa) wataje. Kama alivyofanya Gwajima. Pili. Kwani nani kamtuma...
2 Reactions
86 Replies
3K Views
Kamati kuu ya CCM itakaa 26/7/2025 na Uteuzi wa wagombea utafanyika28/7/2025 Source Channel ten
1 Reactions
3 Replies
623 Views
Polepole alimpinga Kikwete katika lipi maana nimemsikia akisema jana kwenye press yake Katika hili!!! Lipi? Mwenye kujua tafadhali
0 Reactions
17 Replies
818 Views
Eti mmekaa sehemu mnapumzika mko hata wawili na jamaa mnalambalamba bia ila ukisema ugusie hata stori za mustakabali wa taifa hasa siasa jamaa anakukataa kabisa kwamba ni mwiko kusema chochote...
6 Reactions
28 Replies
1K Views
Mtakapotoka hadharani kabla kwanza ya kueleza malalamiko yenu na kutokuridhishwa kwa yanayotokea sasa ni vyema kwanza mkatubu na kuomba radhi wote walioteseka na wanaondelea kuuguza maumivu na...
1 Reactions
1 Replies
244 Views
Nauliza tu kwa sababu hata Daudi alipopigana na Goliati alikuwa na Mungu wa mbinguni Hata Mussa alipowaokoa Wana wa Israel alikuwa na Mungu wa mbinguni Ahsanteni sana 🙏
1 Reactions
16 Replies
989 Views
Huko mbeleni nikifanikiwa kuwa Rais wa Nchi, jeshi langu la ulinzi litafanya kazi kuu 4. 1. Kulinda mipaka ya Nchi. 2. Kulinda rasilimali za Nchi yetu. 3. Kulinda HAKI za Watanzania kwa...
0 Reactions
0 Replies
183 Views
Nyerere ooooo Mwinyi oooo Mkapa oooo Jk blaaaaa Jpm blaaaablaaa Suluhu blaaa and out Yupi aliwapa ahueni.
3 Reactions
10 Replies
337 Views
Kada wa Chama cha Mapinduzi, Mchungaji Godfrey Malisa amesema hatambui uamuzi uliofanywa wa kumfukuza uanachama kwa kile alichodai hakuvunja Katiba ya CCM hivyo maoni aliyoyatoa kuhusu uteuzi wa...
11 Reactions
117 Replies
7K Views
Hali ndani ya CCM imebadilika baada ya press YA Mheshimiwa Balozi Humphrey Polepole. Naona vikao vimesitishwa vilivyokuwa vifanyike tarehe 18 na 19 Julai 2025 kwaajili ya teuzi mbalimbali za...
1 Reactions
17 Replies
1K Views
Upinzani wa Ndani CCM, Kinachomponza Samia Ujanajike Wake Katika siku za hivi karibuni, tumeona kuibuka kwa baadhi ya wanasiasa waliowahi kuwa ndani ya mfumo wa utawala wa awamu ya...
1 Reactions
54 Replies
2K Views
Nadhani walikaa mafuchoni na kutoa ya moyoni. Je mmemaliza kuongea au mtatafuta tena muda kuongea tena?
1 Reactions
10 Replies
391 Views
Katika Ibara hii ndio unapata ni nini haswa nguvu na mamlaka ya Mkutano mkuu. Tusipotoshe umma kwa kutokusoma vyema katiba ya CCM.
3 Reactions
54 Replies
2K Views
Desturi hii imetuokoa sana sana sana. Kila alipoingia mwamba mwingine aliingia na mfumo mpya uliotosha kukiponya Chama na kukiokoa na makando kando yaliyo tawala kwa myaka kumi ilokuwa inaisha...
0 Reactions
0 Replies
249 Views
Wanajamii, je, hili limekaaje? Freeman Mbowe, aliyekuwa mtuhumiwa wa ugaidi na serikali, sasa anaonekana akisimama wazi mbele ya Rais bila ulinzi wowote! Hii inamaanisha nini kwa usalama wa taifa...
10 Reactions
71 Replies
4K Views
Ameandika Dr. Sisimizi Hali ya sintofahamu imeendelea kugubika ndani ya CHADEMA kufuatia baadhi ya Wajumbe wa Kamati Kuu kuona nyumba ya kifahari anayoishi Mwenyekiti wao Freeman Mbowe ambayo...
20 Reactions
233 Replies
24K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…