Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Japokuwa kauli ya Makamu wa Rais baadhi ya watanzania hasa wanaharakati wanaiona kama ni kauli ya kishujaa na kuwahamasisha wananchi wanaodai katiba mpya kutokata tamaa Hata hivyo ni kauli yenye...
6 Reactions
9 Replies
129 Views
Ndugu zangu nimejiuliza maswali kadha wa kadha kuhusu suala la MWAJIRI kupitia ofisi ya Afisa utumishi kuingiza makato ktk mshahara wa mtumishi kwa vyama viwili tofauti vya wafanyakazi ktk...
7 Reactions
48 Replies
5K Views
Naomba kueleweshwa. Makamu wa rais ana nafasi gani katika nchi? 👉Anahamasisha wananchi wapambane na nani ili kupata katiba mpya? 👉Wanasiasa Wanaoishi mahabusu na magereza Leo siyo kwa sababu ya...
23 Reactions
29 Replies
478 Views
Mliokuwa hamjui ni kwamba; Moja ya hirizi ya uchawi wa CCM ulioteka na kuharibu akili za watu na kuwa kama mazezeta ni hii koroboi inayoitwa "Mwenge wa Uhuru..." Godbless Lema wakati fulani...
2 Reactions
2 Replies
53 Views
Mwenyekiti wa Jumuia ya Wazazi ya CCM na Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM (NEC), Rajabu Maganya, amesema mchakato wa Katiba Mpya ni sehemu ya utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya CCM ya mwaka 2030...
4 Reactions
37 Replies
942 Views
Hili la kusema hivi then kesho kutwa tunawaona wote kwenye adhimisho flani hatuwez kukubali.. Hizi mbanga unaongea hivi then kesho unasema tena mpo pamoja na Mkulu hatuwez kumuanini 100% Tupo...
1 Reactions
2 Replies
55 Views
Sina zaidi la kueleza maana mada za Nchimbi jukwaani ni nyingi. Je, kibano cha mabeberu kinafanya kazi yake na watu wanfikiri sawasawa sasa? At any rate , hata Mwalimu mwaka 1977 aliwahi kusema...
2 Reactions
3 Replies
69 Views
Openly, kwenye media, bila uoga, Mwaipopo kajitangaza kwamba anamiliki vikundi vya kigaidi vyenye mafunzo ya hali ya juu, akivionyesha kwenye camera. Polis hawakuchukua hatua yoyote. Badala yake...
4 Reactions
5 Replies
114 Views
kizungumza kwenye kipindi cha Kapu Kubwa Leo, @bodaboda_mmbea amesema kuwa wanafunzi wengi na familia zao wanapata ugumu kutokana na ada kutolipiwa kikamilifu, jambo linalowalazimu kutafuta fedha...
0 Reactions
1 Replies
77 Views
Wakuu, Kumkumbuka tutamkumbuka apo kwenye tutamkumbuka kwenye nini Mchengerwa atuachie sisi ======== Waziri Mchengerwa aliyasema hayo Julai 23, 2026 kwenye ziara yake ya kikazi ya siku 4 mkoani...
8 Reactions
90 Replies
1K Views
SEHEMU YA KUMBUKUMBU YA RAIS MKAPA: MIAKA 6 TANGU ATUAGE Anaandika Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Ubia kati ya Sekta ya Umma na Sekta Binafsi (PPPC), Bw. David Kafulila, kupitia mtandao wa X...
2 Reactions
11 Replies
261 Views
Mkuu huyo wa wilaya huko Shinyanga ameonekana kwenye taarifa ya habari ya ITV saa mbilu usiku huu akiwa ameambatana na polisi. Julius Ntatiro mkuu wa wilaya ameonekana akiwa nyumbani hapo na...
7 Reactions
27 Replies
564 Views
Mabango ya "Chagua Samia" hadi leo yapo barabarani, japo uchaguzi umeisha tangu October 2025. Sasa swali ni kwamba, kwa kuwa ukiweka bango barabarani kama hayo ya "Chagua Samia" lazima ulilipie...
3 Reactions
16 Replies
325 Views
Askofu Dr. Benson Bagonza wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania Dayosisi ya Karagwe, akizungumza na Sauti Digital Ijumaa Julai 24, 2026 amehoji kuhusu kauli ya Makamu wa Rais Dkt. Nchimbi...
2 Reactions
0 Replies
125 Views
Katika nafasi yake Lissu alifanikiwa kupindua meza na kuufuta utawala wa Mbowe katika mazingira ambayo hayakutarajiwa. Nchimbi nafikiri anahitaji mtu wa nafasi/Role ya Mnyika na Heche. Same playbook
3 Reactions
7 Replies
197 Views
ANASEMA MARIA SARUNGI, OUR PULCHRITUDINOUS: Leo Nchimbi umeonyesha uungwana kwa maneno maana umesema kuwa uanaharakati si uhasama - na ulinitaja kabisa pamoja na kwamba ninajua kuwa jina langu...
4 Reactions
0 Replies
95 Views
Yupo upande wa victims of a system, naye anategemea sauti za wananchi wanaoweka maisha yao hatarani kwa kuwasemea watanzania. Kwa mamlaka ya makamu wa raisi tu angebadilisha mambo mengi sana.
2 Reactions
20 Replies
415 Views
Wanabodi, Kwanza watch TBC Live Mubashara https://www.youtube.com/watch?v=wMOElr9lFGI Japo enzi za Rais Jakaya Mrisho Kikwete, sisi humu JF, tulimpiga spana za kutosha zikiwemo spana zangu...
16 Reactions
223 Replies
4K Views
Hotuba aliyotoa Makamu wa Rais Dr Emmanuel Nchimbi jana kwa vikundi vya wanaharakati na viongozi wengine ni nyundo. Nyundo hii ni eye opener. Nchimbinkatema che che ambazo hata wana CCM wanagwaya...
1 Reactions
4 Replies
81 Views
Yuda ni yuda haijalishi kama ni yuda wa wakati uleee wa Yesu au wa wakati huu Mama ndio kila kitu. Barabara ikijengwa ni Mama. Matundu ya vyoo yakijengwa ni Mama. Hospital ikijengwa ni Mama. Hela...
3 Reactions
9 Replies
215 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…