Analogia Malenga
Platinum Member
- Feb 24, 2012
- 5,292
- 10,842
Shule za serikali kwa mujibu wa takwimu za TAMISEMI ni kuwa mikoa yote Tanzania ina shule ambazo zinawalimu chini ya 10. Hata hivyo Lindi inaongoza kwa kuwa na shule nyingi zenye waalimu chini ya 10.
Aidha shule 21 zina walimu 5 au chini ya hapo na shule 2 zilizoko mkoani Mara zinawalimu wawili.
Kwa takwimu hizo zinaonesha mkoa wenye uwiano mkubwa wa walimu kwa wanafunzi wa Sekondari ni Mara. Huku Tanga ikiwa na uwiano mdogo wa walimu kwa wanafunzi

Region | Freq. | Percent |
| Lindi | 42 | 11.83 |
| Mara | 32 | 9.01 |
| Tanga | 24 | 6.76 |
| Mtwara | 21 | 5.92 |
| Tabora | 19 | 5.35 |
| Dodoma | 18 | 5.07 |
| Kigoma | 18 | 5.07 |
| Kagera | 17 | 4.79 |
| Morogoro | 17 | 4.79 |
| Mwanza | 17 | 4.79 |
| Simiyu | 17 | 4.79 |
| Geita | 15 | 4.23 |
| Shinyanga | 14 | 3.94 |
| Ruvuma | 11 | 3.1 |
| Arusha | 10 | 2.82 |
| Singida | 10 | 2.82 |
| Katavi | 9 | 2.54 |
| Pwani | 8 | 2.25 |
| Rukwa | 8 | 2.25 |
| Iringa | 6 | 1.69 |
| Mbeya | 6 | 1.69 |
| Songwe | 5 | 1.41 |
| Kilimanjaro | 4 | 1.13 |
| Manyara | 3 | 0.85 |
| Njombe | 3 | 0.85 |
| Dar es Salaam | 1 | 0.28 |
| Total | 355 | 100 |