Bunge la 13, Mkutano wa Pili, Kikao cha Tatu, 29 Januari, 2026

Bunge la 13, Mkutano wa Pili, Kikao cha Tatu, 29 Januari, 2026

Roving Journalist

JF Roving Journalist
Joined
Apr 18, 2017
Posts
5,071
Reaction score
15,348
Mkutano wa pili wa Bunge la 13 unaendelea na vikao vyake leo Januari 29, 2026 jijini Dodoma.

Miongoni mwa shughuli za leo ni wabunge kuuliza maswali kwa Waziri Mkuu pamoja na maswali ya kawaida yatakayojibiwa na serikali.

Aidha, Bunge litaendelea kujadili hotuba ya Rais Samia Suluhu Hassan aliyoitoa wakati akifungua Bunge la 13, ambayo ilieleza muelekeo wa serikali yake.

 

Similar Discussions

Back
Top Bottom