Marafiki Mbowe na Samia kudanganyana ni sawa au unafiki?

Kamundu

Platinum Member
Joined
Nov 22, 2006
Posts
9,605
Reaction score
14,979
Sasa wanasema ni marafiki lakini rafiki mmoja kamdanganya mwingine kwenye maridhiano na kumletea shida. Je huyo rafiki ni rafiki kweli au mnafiki . Chadema wamekosa imani na Mbowe kwasababu ya kumuamini rafiki yake

1737056740134.png
 
Ila Mbowe mhuni sana hivi hiyo 12b aliyovuta kwa mama dula imetumikaje? Na ndiyo hivyo kiendacho kwa mganga hakirudi, Mama dula kapigwa,chezea mpalestina wewe,chawa kina Lucas Mwashambwa wanakesha humu kumsifia wametoka kapa,mangi katekenya kidogo tu kavuta bulungutu.
Wewe unatakiwa ufungwe kamba na kuwahishwa haraka sana Mirembe.
 
Nilisikia Mama Samia hajawahi kumuamini Majaliwa hasa baada ya Majaliwa kumficha na kuongea na mkuu wa majeshi wakati Magufuli amefariki bila kumwambia makamu wa Raisi wa wakati huo ambaye ni yeye. Mama kuanzia wakati huo amekuwa hamuamini Majaliwa kabisa.

Sawa kwa upande mwingine Mbowe nasikia sio tu mambo ya siasa ni marafiki kabisa na inaenda sasa kuwa marafiki wa kifamilia.

Je inawezekana Majaliwa kupigwa chini ni kwasababu ya hili
 
Mbowe upinzani wake ni ule wenye kitu mashabiki wake wanaita ''busara''. Kimsingi ''busara'' ina maana ya kuwa upinzani asilimia kubwa ni kwa sababu ya maslahi yake na siyo kuwa anataka kuleta mabadiliko. Sasa amekuta mama naye ni mtu wa kupenda kutoa fedha kwa wingi ili tu mambo yake yaende. Colabo kama hii ni lazima inoge.
 
Ila Mbowe mhuni sana hivi hiyo 12b aliyovuta kwa mama dula imetumikaje? Na ndiyo hivyo kiendacho kwa mganga hakirudi, Mama dula kapigwa,chezea mpalestina wewe,chawa kina Lucas Mwashambwa wanakesha humu kumsifia wametoka kapa,mangi katekenya kidogo tu kavuta bulungutu.
Una bahati unatumia jina bandia. Ningeliomba "ubinywe nyeti" hadi useme hizo hela Mbowe alipewa lini na nani. PUMBAVU!
 
Sasa wanasema ni marafiki lakini rafiki mmoja kamdanganya mwingine kwenye maridhiano na kumletea shida. Je huyo rafiki ni rafiki kweli au mnafiki . Chadema wamekosa imani na Mbowe kwasababu ya kumuamini rafiki yake

View attachment 3203932
Mwanamke anakuwa rafiki yako Alafu Eti unasaliti wanaume wenzio,ww huwezi kujiita mwanaume kamwe.Ndio hili li Freeman Mbowe lisilojielewa,siku usajili ukifingwa halitapata timu yoyote zaidi ya kuzurura.
 
Nabubujikwa na machozi ya furaha baada ya kuona Mbowe na Mboni la jicho letu mama Samia wako pamoja kwenye uzinduzi wa dira ya taifa 2050.
 
Back
Top Bottom