Sijapewa username bado
JF-Expert Member
- Aug 15, 2024
- 1,714
- 2,745
Polepole ameelea kuwa asingeweza kukosoa huku akiwa Balozi
"Mimi ni balozi kama nyie hamsemi mimi nitasema, lakini siwezi kusema nikiwa balozi. Mama huyu ananipa mimi kula na familia yangu, siwezi tena kuwa nakula vya mama vya mama halafu naenda kusema kukosoa chama mana nikikosoa chama namkosoa na yeye." - Humphrey Polepole