Lissu kaenda jela kututhibitishia Freeman sio free-man

Lissu kaenda jela kututhibitishia Freeman sio free-man

Dream big

Member
Joined
Jun 18, 2014
Posts
74
Reaction score
19
Picha limeanzia kwenye kampeni jamaa kaukataa umakamu anataka uwenyekiti.

Agenda kuu ya kuwin kwa Lisu ni kusema tundu Hana matundu (risasi)
Na kwa freeman
ni kuaminisha umma hayuko free man(mlamba asali)

Bila upinzani mwamba alikuwa ajivushe tena ila attack ya visu ilikuwa ya kumstukiza alafu kachagua back up Toka kanda maalum, jamaa lilishajikataa uhaj tangia lione maiti ya mdogo wake.

Mpaka kesi ya uhaini inataletwa kwa table ni kwamba malkia aliamua kulinda mzinga wake kwa kumfanya shahidi wa Siri kuibuka kuprove sio Siri tena Asali ni tamu.

Mpaka kutokea Dom badala ya kisutu ni kuhakikishia tu asali nailamba hadharani na hamna cha kumfanya.

Kwa kadri saa zinavyoenda huko jela inaendelea kuonyesha aliyeko jela ndio free na aliyeko free ndio Yuko Jela. Tangu alivyoingia jela akiwa free man alitokea magogoni akiwa Gaidi.

Sasa process ni kumfanya Tundu awe kama free ,ila akiangalia matundu yaliyo na risasi kwenye mwili wa wake anaona Bora alipe gharama abaki kuwa free kuliko kurudi uraiani akiwa Bado mfungwa wa kuabudu mkuu wa majela
 
Jabari alikuwa attacked vibaya sana wakati wa kampeni za ndani so ana vidonda anaugulia.

Safari ya Jabari huko Dom ilikuwa kwenda kujaribu kutibu vidonda si unajua ukiwa mgonjwa lazima ujaribu dawa tofauti tofauti.
 
Uzuri attack zote zinathibitishwa kuwa ni kweli moja wapo hiyo "kulamba asali"
 
Back
Top Bottom