Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Dar es Salaam port The winner beat Augusta Energy SA (Geneva) which came second, Vitol SA (Geneva and London) which settled for the third position, Geneva-based Trafigura PTE Limited was...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Mtanzania aliyemchagua kiongozi wake amuongoze eti anamwita huyo kiongozi ni "janga la kitaifa". Hivi ndugu zangu linaingia akilini kweli au ni kulidhalilisha taifa letu ili lionekane ni la...
0 Reactions
29 Replies
3K Views
Hadi leo baadhi ya watumishi wa serikali hawajapokea mishahara yao ya mwezi Octoba.Tatizo ni nn?
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Nimekuwa nikifuatilia kwa makini sana chaguzi za CCM hapa nchini zimeonyesha na kuweka wazi kuwa sasa 2015 Chadema itakamata nchi. Kwa kuanzia UWT vilikuwa visasi, mbwembwe, matusi na rushwa...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Pesa ni kwa ajili ya kujenga chama na kusaidia katika kampeni mbalimbali kama za udiwani zilizopita,money matters,kama chama kinashindwa kusaidia wagombea kifedha kushinda itakuwa ni ngumu sana...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Kila alikokuwa anapita aliona nyumba Bora za matofali na magorofa Lakini akajiuliza ni jimbo la Upinzania. Cha kushangaza, je yale majimbo yanayochagua CCM kila kukicha wana nyumba za udongo...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Malawi quasi religious organisation has asked government to take board stand on the Lake Malawi ownership wrangle and tell Tanzania ‘hands-off’. The Public Affairs Committee (PAC) Publicity...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Mheshimiwa nimelalamika muda mrefu juu ya hili swala lkn naona hakuna majibu wala unafuu???? Au tuandae maandamano kuelekea DAWASCO???
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Wizara ya kilimo leo wamekatiwa umeme na tanesco kwa kulimbikiza deni kwa mda wa miaka mitatu,kuna taarifa kuwa kuna ufisadi umefanyika kwani pesa ya kuendesha wizara hutolewa na serikali ikiwemo...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
ALHAMISI, NOVEMBA 01, 2012 06:10 NA KHAMIS MKOTYA, DODOMA BAADA ya baadhi ya wabunge na wafanyakazi nchini, kulalamikia Sheria za Mifuko ya Hifadhi ya Jamii, hatimaye Serikali imeruhusu fao la...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Akiongea akiwa studio za Channel ten mwenyekiti wa CUF taifa Mzee Lipumba amewasihi waislam kesho wasiandamane mara baada ya kuswali swala ya Ijumaa. Amesema haki ya kuandamana ni haki ya...
3 Reactions
62 Replies
5K Views
Salaam, Arusha Mambo itarusha moja kwa moja Kikao cha Bunge kinachoanza leo jijini Dodoma. Ili kusikiliza bonyeza hapa Arusha Mambo FM - Arusha - Listen Online&
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Kutokana na uhaba wa mafuta nchini, Mh Lugola ataka bunge liahirishwe ili lijadili uhaba wa mafuta. naona kama wengi watamuunga mkoo na mnyika anajazia hoja...
1 Reactions
15 Replies
1K Views
People of Misuku in Chitipa District have been cautioned against selling their precious pine trees to foreigners from neighbouring Tanzania who suddenly have found Misuku area as a source of...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Leo ni ijumaa, kazi hazifanyiki kwa amani mjini, watu busy wanafuatialia habari toka vyanzo tofauti. Kariakoo watu wamefunga maduka, baadhi ya watu wamepack magari yao majumbani, wengine...
5 Reactions
5 Replies
1K Views
Tujiulize kwa nini Tanzania ni kama tumekuwa stunted kimawazo Wenzetu hao...
1 Reactions
0 Replies
753 Views
Mimi nikiwa mmoja wa walipa kodi wa nchi hii nimesikitishwa sana na maamuzi yaliyofanywa na Serikali katika kununua System mpya ya malipo maarufu kama EPICOR.09 na kuiondoa iliyokuwepo, japo kuwa...
6 Reactions
32 Replies
3K Views
Sijafurahishwa na ushindi wa kata 5 kati ya kati 29 halafu bado kuna viongozi wa chama wana pumbazwa na propaganda za ccm kusema wamejitahidi kwa kusimamisha wagombea kote,eti wamejitahidi...
2 Reactions
20 Replies
2K Views
Kuna taarifa kuwa mkuu wa Tanzania Building Agency mkoani Mbeya, hataki kutoa kibali cha ujenzi mkubwa wa chuo cha madaktari wasaidizi jijini Mbeya. Taarifa zaidi zinadai kuwa mwanzoni chuo hiki...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Usomi wa ngazi mbalimbali si sifa ya mtu kufaa kuwa kiongozi, dunia katika historia yake ina majina lukuki ya baadhi ya viongozi ambao walikuwa wasomi, lakini hatima ya uongozi wao haikutofautiana...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…