Eti Raisi Alishangaa maendeleo ya Rombo

Eti Raisi Alishangaa maendeleo ya Rombo

MPadmire

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2006
Posts
3,956
Reaction score
3,245
Kila alikokuwa anapita aliona nyumba Bora za matofali na magorofa

Lakini akajiuliza ni jimbo la Upinzania.

Cha kushangaza, je yale majimbo yanayochagua CCM kila kukicha wana nyumba za udongo.

Whhyyyyy
 
ye kila siku anaenda msoga ndio maana hajui hali ya maendeleo ya nchi hasa kaskazini mbona hapo bado hajaona kitu?
 
Nimepita Kilwa, aibu! Hivi sehemu kama hii kuna watu wenye senses kweli! Utadhani wanaishi mbuzi!
 
Lakini si mliisha ambiwa na vijana wa ccm kuwa RAIS hatatoka kaskazini au mmesahau?....na hakuna kiongozi yeyote aliyekanusha hilo
 
-Jimbo la Rombo wananchi ni wachapakazi pamoja na setikali kutowawekea mazingira mazuri lakini wanafanya kazi sana.Mambo yangeweza kuwa mazuri zaidi ya hapo

Pia vijana wa Rombo waliopo nje ya Rombo wanafanya kazi na kuwasaidia wazazi na ndugu zao na hatimae kubadili hali ya jimbo
 
Well said mkuu
 
Rombo ndo kwetu karibuni magamba mjioneee
 
Back
Top Bottom