Lipumba: CUF itawawekea dhamana akina Ponda

Lipumba: CUF itawawekea dhamana akina Ponda

Mzito Kabwela

Platinum Member
Joined
Nov 28, 2009
Posts
18,908
Reaction score
7,752
Akiongea akiwa studio za Channel ten mwenyekiti wa CUF taifa Mzee Lipumba amewasihi waislam kesho wasiandamane mara baada ya kuswali swala ya Ijumaa.

Amesema haki ya kuandamana ni haki ya kikatiba lakini inaonekana haki hiyo inapokonywa na watawala.

"Nawasihi Waislam mara baada ya salatjumaa(sijui kama nimeitamka sawasawa) watulie waendelee na shughuli zao sisi tunafuatilia mipango ya dhamana" alisema Lipumba akiwabembeleza kwa Unyeyekevu Waislam.

Haya ndugu zangu waislam mwenyekiti wa chama chetu ametuomba tusiandamane
 
sijui ccm walikuwa wanasema ukweli au uongo mwaka 2005 kuwacufni chama cha uislamu,au labda mheshimiwa Lipunba labda anasema kama Lipumba si mwenyekiti wa cuf,mimi mhhh namsubiri ngangari cuf atujuze maana inawekana akawa sawa
 
hii ni dharau na unafiki kwa waislamu.

Dharau;ina maana waislamu ambao tuliambiwa ni wengi Tanzania hii wameshindwa kuwawekea dhamana ?

Unafiki;haki ya kuandamana imepokwa na lipumba anayewataka wasiandamane!
 
watajazwa ujinga huko msikitini lazima wataandamana tu...lipumba akumbuke yeye ni professa kasoma ana uwezo wa kufikiri...wengi wao watakaokua huko msikitini hawana huo uwezo wa kufikiri nakuona jambo hili ni zuri au baya...
 
Hongera Lipumba. Jk anasahau kwamba wakiristo 2010 walimotosa. harakati za Akina Ponda ndio waliomfanya arudi Ikulu. DPP kumbe yakiwa maswala ya waislam anatumia sheria lkn yakija maswala ya MAFISADI unamsikia anatoa kwikwi. waislam watz hawakuanza kuteswa na KIKWETE, wote wanafuata sera tu
 
watajazwa ujinga huko msikitini lazima wataandamana tu...lipumba akumbuke yeye ni professa kasoma ana uwezo wa kufikiri...wengi wao watakaokua huko msikitini hawana huo uwezo wa kufikiri nakuona jambo hili ni zuri au baya...
Id inajieleza "mtoto" halafu wa mjini, unaona eeh!!
 
tumekusikia Prof wa ukweli hatutaandamana mkuu.. polisi wamshukuru Lipumba kesho ilikuwa zamu yao kulia. wangeleta jwtz tena kesho.
 
tumekusikia Prof wa ukweli hatutaandamana mkuu.. polisi wamshukuru Lipumba kesho ilikuwa zamu yao kulia. wangeleta jwtz tena kesho.

acha uongo...mmeogopa maji ya washa washa....fanya mchezo...ka kweli nyie wanaume ingieni mitaani muone ile kitu mtafanyiwa
 
hawatamsikiliza .watasema katumwa na wakristo.

Kweli ni tatizo kubwa sana juu ya uelewa wa baadhi ya watu. Na hili inawezekana ni tatizo labda la mfumo wa elimu zetu maana kwa wao waislam wanaona ni kweli wanaonewa.
 
watajazwa ujinga huko msikitini lazima wataandamana tu...lipumba akumbuke yeye ni professa kasoma ana uwezo wa kufikiri...wengi wao watakaokua huko msikitini hawana huo uwezo wa kufikiri nakuona jambo hili ni zuri au baya
wewe **** nani alikuambia msikitini wanajazwa ujinga chunga fikra zako mtoto wa zinaa wewe
 
CUF kama chama hawakupaswa kujiingiza kwenye mambo haya. Kwanini wasiteue watu wao wakaenda kuwadhamini kama watu binafsi? Hii ingawa si kweli itathibitisha kashfa za CCM kuwa CUF ni chama cha kidini au kina udini. Je huu ni mwanzo wa kuvunjika kwa ndoa ya CCM na CUF? Endeleeni kubomoana. Vita ya panzi ati.
 
tumekusikia Prof wa ukweli hatutaandamana mkuu.. polisi wamshukuru Lipumba kesho ilikuwa zamu yao kulia. wangeleta jwtz tena kesho.
 
tumekusikia Prof wa ukweli hatutaandamana mkuu.. polisi wamshukuru Lipumba kesho ilikuwa zamu yao kulia. wangeleta jwtz tena kesho.
 
Dhamana haimhusu ponda,ataendelea kunyea debe😀PP
 
Akiongea akiwa studio za Channel ten mwenyekiti wa CUF taifa Mzee Lipumba amewasihi waislam kesho wasiandamane mara baada ya kuswali swala ya Ijumaa.

Amesema haki ya kuandamana ni haki ya kikatiba lakini inaonekana haki hiyo inapokonywa na watawala.

"Nawasihi Waislam mara baada ya salatjumaa(sijui kama nimeitamka sawasawa) watulie waendelee na shughuli zao sisi tunafuatilia mipango ya dhamana" alisema Lipumba akiwabembeleza kwa Unyeyekevu Waislam.

Haya ndugu zangu waislam mwenyekiti wa chama chetu ametuomba tusiandamane

Sikujua kuwa Lipumba ni mwenyekiti wa chama cha waislamu!
 
Sikujua kuwa Lipumba ni mwenyekiti wa chama cha waislamu!

Kama ambavyo hukujua kuwa CDM ni chama cha kikristo pale walipokuwa wakimpigia debe Dr Ulimboka! Ngoma droo, inabalance tu kutokana na mawazo yako. Kwani tatizo liko wapi?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom