Kitendo cha mbunge wa Siha Mh. Mwanri ambaye ni Naibu Waziri wa TAMISEMI kujibu maswali bungeni kwa hasira pale anapoulizwa maswali ya kutetea maslahi ya wanyonge kweli ni haki?
Na huongea kwa...
Mwenyekiti mpya wa Jumuia ya Wazazi, Abdallah Bulembo amesema kuwa kazi rasmi aliyopewa na Kikwete ni Kuusambaratisha Upinzani!
Kauli hii kweli ina mantiki?
Nijuavyo mimi role ya Jumuia hii ni...
Binafsi sioni mantiki ya kipindi hiki zaidi ya kupoteza muda wa kujadili mambo muhimu yanayo likabili taifa kwa sasa.
Kwasababu maswali yenyewe yanakuwa tayari anaye ulizwa amesha yaona au kwa...
Magazeti mengi ya leo yamesema Spika wa bunge la Tanzania amesema bunge halimtambui makamu wa pili wa rais Zanzibar.
Vipi kuhusu makamu wa kwanza naye anatambulika ktk bunge hili la Jamhuri...
kuna mabadiliko ya tarehe ya kusikilizwa kwa kesi ya rufaa ya kupinga kuvuliwa ubunge iliyofunguliwa na aliyekuwa mbunge wa Arusha mjini mh Godblees Lema, ambayo kwa sasa imehamishiwa kwenye...
Habari nilizozipata muda mfupi uliopita ni kuwa madiwani wa kata za Kirumba,Nyakato,Nyamanoro na mwingine wa kata ambayo sikuipata wamewekwa ndani ingawa kisa hakijulikani lakini ni mwendelezo wa...
Naanza kuwa na wasiwasi juu ya hatua inayochukuliwa na CUF baada ya Prof, Ibrahim Lipumba kuweza kuwashawishi WAISLAMU WENYE MSIMAMO NA ITIKADI KALI ZA KIDINI! Ili wasiandamane na badala yake...
Baada ya utafiti wa muda mrefu na wenye kina bila kuathiriwa na maamuzi mbele, aliye sasa mkuu wa mkoa mmoja kusini mwa Tanzania afaa kuiongoza nnchi ya Tanzania 2015. Na huyu si mwingine bali ni...
KITAIFA
Jengo la Shirika la Umeme Tanzania, TANESCO MCL
Na Mwandishi Wetu
Imetumwa Jumatatu,Novemba5 2012 saa 7:53 AM
KWA UFUPI
WAFANYAKAZI MAMIA WAPANGULIWA, WENGINE WAFUKUZWA, KISA...
Nakishukuru Chama Cha Mapinduzi kwa kumpa uongozi muuaji wa kaka zetu, dada, mama, baba na jamaa zetu kwa ARV feki na nampongeza rais Jakaya Mrisho Kikwete kwa kukaa kimya utafikiri ni nguruwe...
Hoja ya Mh. January Makamba kuhusu serikali kuthibiti wenye nyumba kukusanya kodi ya pango ya mwaka mzima ni ya kuunga mkono kama ukiliangalia suala lenyewe katika mtazamo finyu...
Ni jambo la kushangaza kidogo nilipoona kuwa kikwete alizunguka nchi nzima na hata mkoa wa kigoma lakini hakuingia jimbo la kigoma kaskazini kufanya kampeni za kuomba kura na kuwanadi wagombea...
Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Mkoa wa Mjini Magharibi, Borafya Silima ambaye amechaguliwa hivi karibuni amesema kwamba nafasi aliyopata ni muhimu katika siasa za Zanzibar na kwamba...
JK aandaliwa kura za maruhani Dodoma | na Mwandishi wetu
ZIKIWA zimesalia siku chache kabla ya kuanza kwa Mkutano Mkuu wa Uchaguzi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), joto la uchaguzi huo kwa vigogo...
Habari za mida wazalendo wenzangu,
Kuna tetesi zimeenea katika jimbo la Morogoro Mjini kuwa yule Mbunge Kivuri wa Chadema jimbo la Morogoro Mjini Mh:Amani Mwaipaja anategemea kuachana na Siasa...
Uchunguzi wa kina na wa kweli wa kwa nini CDM imeambulia kata 5 tu katika chaguzi za kata za hivi karibuni umebaini kuwa mwaka 2015 CCM wana uwezekano mkubwa wa kushinda iwapo tutaendelea kupiga...
Kampuni ya Reli Tanzania (Tanzania Railway Ltd) imekubali kuilipa kampuni ya International Finance Corp kiasi cha dola za Kimarekani milioni saba ili kufuta deni inalodaiwa kabla ya kubinafsihwa...
Mulugo jua kwamba MUNGU si BINADAMU, so Hujue Uongo wako na mambo yako machafu Katika JINA LA YESU ALIYE HAI, Yatakuja kuwa wazi kutoka Gizani huko Uliko Jificha na Uchafu wako wa Ubaya wako
1...
Muda umepita sasa tangu jimbo la sumbawanga kuwa wazi baada ya mbunge aliyekuwepo kuenguiliwa na mahakama kwa madai ya kukiuka taratibu na kanuni za uchaguzi.tulitegemea ccm wangekata rufaa lakini...
FROM FB wall of Deo Kisandu.ANGALIZO; namshauri Rais kikwete ajiudhuru nafasi ya mwenyekiti wa Taifa wa CCM kwani ni chama ambacho kinamshushia heshima kwa kutumia rushwa sana kama vyombo vya...