Baba Clara
Member
- May 10, 2011
- 94
- 27
FROM FB wall of Deo Kisandu.ANGALIZO; namshauri Rais kikwete ajiudhuru nafasi ya mwenyekiti wa Taifa wa CCM kwani ni chama ambacho kinamshushia heshima kwa kutumia rushwa sana kama vyombo vya habari vilivyo ripoti hivi karibuni. Ni bora akabaki kuwa Rais tu wa nchi ili astaafu na sifa nzuri kuliko na sifa ya kuongoza chama kinachotawaliwa na viongozi wenye mlipuko wa rushwa.