Uchunguzi wa kina na wa kweli wa kwa nini CDM imeambulia kata 5 tu katika chaguzi za kata za hivi karibuni umebaini kuwa mwaka 2015 CCM wana uwezekano mkubwa wa kushinda iwapo tutaendelea kupiga kura kwa kutumia kadi hizi tulizo nazo.
Kwa mfano Kata mojawapo ya mkoani Shinyanga CCM wameshinda kwa kura 200 huku wakiwa wamenunua kadi 700 kwa Shilingi elfu 20 kila kadi sawa na shilingi milioni 14 kwa kadi zote 700. Shinyanga mjini kuna kata 17 wanazoweza kununua kwa milioni 238 kama wakiamua. Milioni 238 si pesa kubwa kwa matajiri wa CCM hata mmoja tu anaweza kuzitoa.
Ujinga ni mwingi kwa wapiga kura wengi na njaa ni kali! wanakubali kirahisi kuuza kadi zao kwa elfu 20 tu tena wanajipeleka wenyewe!
Ili kudhibiti mbinu hili chafu, cha kufanya ni kutafuta uwezekano wa haraka wa namna gani Watanzania tupige kura bila kutumia kadi hizi zinazonunulika kirahisi.