Matokeo ya Uchaguzi wa Madiwani October 28, 2012

Daffi Jr

JF-Expert Member
Jun 25, 2011
3,825
906
Kwa ujumla:

CCM - Kata 23
CHADEMA - Kata 5
TLP - Kata 1

Matokeo rasmi daraja mbili:

CHADEMA - 2,047
CCM - 1,214
Matokeo Kamali ya udiwani kata ya Ipole Sikonge!

CHADEMA - 577.
CCM - 373.
CUF - 48.
Tofauti 204. Ushindi kwa CHADEMA!

Source: Mimi mwenyewe niko kwenye eneo la tukio.
Matokeo rasmi ya udiwani kata ya Kiloleli Sikonge!

CHADEMA - 329.
CCM - 690.
CUF - 222.

Kata ilikuwa chini ya diwani wa CUF aliyefariki.

Source:
Mimi mwenyewe nikiwa eneo la tukio.
Matokeo Rasmi ya Udiwani Kata hii ya Nanjara Reha ni haya:

CHADEMA KURA 2370
CCM KURA 1134


Kilema Kusini [Bado kituo 1 cha Malawe Chura]

TLP 946
CDM 727
CCM 707

Ahsanteni sana Wana Nanjara Reha kwa kuendelea kuiamini CHADEMA na kuitupilia mbali CCM.
Tamota-Lushoto

CCM-901
CDM-312
CUF-10
Uchaguzi mdogo wa Udiwani uliofanyika katika Kata ya Bugarama wilayani Kahama mkoani Shinyanga:

Katika uchaguzi huo ulifanyika leo
CCM imepata kura 1145
,
Chadema: 772 na
TADEA: 156

Wagombea wakiwa Nixon Igoko (CCM) Erasmus Francis (CHADEMA)


Pia habari zilizopatikana kutoka Kata ya Shinyanga mjini ambako pia uchaguzi mdogo wa Udiwani umefanyika, zimasema CCM imeshinda.
Kata ya Mwawaza - Shinyanga: CCM yashinda kwa gharama kubwa

Hatimaye matokeo ya uchaguzi kata ya Mwawaza yamekamilika kwa CCM kuibuka kidedea.

Uchaguzi huo uliofanyika leo hii uliambatana na vurugu zilizotokea kipindi cha asubuhi kwa kuwaponda mawe wafuasi wa CDM ambao walikuwa walikuwa wakielekea eneo la lililoruhusiwa kisheria kusubiria matokeo.

Pamoja na ushindi huo ambao wapiga kura wa kata hiyo walikubali kurubuniwa kwa kupewa 5000/- na wengi wao kuuza vipalata vyao vya kupigia kura kutokana na kutokujua thamani ya kura zao na pesa waliyopewa.
Matokeo yaliopatikana toka Songea mjini kata la Mletele ni kuwa CHADEMA imepigwa kipigo cha mbwa mwizi kwa kutandikwa kama ifuatavyo:

CCM kura 955
Chadema kura 297
Cuf kura 27
Hatimaye wananchi wa kata ya Mlangali, jimbo la kaka Deo wafanya kweli kwa kuwakataa waasisi na walezi wakuu wa rushwa Tanzania, CCM na kuchagua mabadiliko ambapo katika uchaguzi huo CHADEMA wamezoa kura 1,418 na CCM wameambulia 1,247.
CHADEMA yashinda kwa kishindo kata ya Mtibwa huko Mvomero

CHADEMA imepata kura 3,096,
CCM 1,372 na
CUF 67.

Kampeni hizo ziliongozwa na makamanda ALLY BANANGA NA MH CECILIA PARESO MBUNGE VITI MAALUM KUTOKA ARUSHA! CHINI YA USIMAMIZI WA KAMANDA ALIYEKUWA ANAONGOZA KAMPENI MIKOA YA MOROGORO NA DODOMA MH BENSON SINGO KIGAILA
 
Matokeo Rasmi ya Udiwani Kata hii ya Nanjara Reha ni haya:

CHADEMA KURA 2370
CCM KURA 1134


Kilema Kusini [Bado kituo 1 cha Malawe Chura]

TLP 946
CDM 727
CCM 707

Ahsanteni sana Wana Nanjara Reha kwa kuendelea kuiamini CHADEMA na kuitupilia mbali CCM. Mmechagua Mabadiliko mkaacha Mafisadi! Mmechagua jema na kuacha baya! Mmefanya maamuzi sahihi.

Mungu awabariki sana!
 
Daraja 2,chumba cha kwanza,Chadema 74,CCM 21.Bado uhesabuji unaendelea!kulikuwa na vurugu za hapa na pale,ccm walitaka kuingiza maboxs yenye kura bandia!wananchi wamekuwa wakali km pilipili.source Sunrise radio.
safi natumaini ni data za uhakika..
 
Huko rombo selasini anasema tunaongoza vituo vitatu kwa asilimia 75. Nimemnuu kutoka akaunt yake facebook
 
Matokeo niliyo nayo Daraja mbili CDM imeshinda,Reha Rombo katika vituo 7 CDM inaongoza vituo 6
 
Habari kutoka kwa makamanda wetu Arusha kata ya Daraja 2. Matokeo ya awali Chadema inaongoza kwny nusu ya vituo mpaka sasa. Ntawaletea data kadiri ninavyozipokea kutoka jikoni.
 
Kingine!CDM,46 CCM 36!Nashindwa kidogo kuandika haraka!Kuna Tlp,cuf,nccr!wengi wana kura1,2 hata 0.
 
Back
Top Bottom