Wanabodi;
Kijana mwenzetu Le mutuz amepita kwenye uchaguzi wa jumuiya ya wazazi CCM; nachukua fursa hii kumpa pongezi za dhati kwa kupita kwake; siasa si lelema pamoja na kwamba hakupita kwenye baadhi ya chaguzi alizogombea lakini hakukata tamaa amepigana mpaka ametimiza azma yake kisiasa; hii changamoto kubwa kwa baadhi ya wanaJF wenzetu wenye nia ya kugombea nafasi za kisiasa kupitia vyama vyao; kwenye nia ipo njia; kukata tamaa mwiko! Le mutuz tunataka kusikia mdundo wazazi CCM kazi kwako!
Chama
Gongo la mboto DSM
CC Mwita Maranya

Last edited by a moderator: