mnyanyaswaji
JF-Expert Member
- Nov 10, 2009
- 478
- 117
Kuhusu suala la lake la kuenguliwa kasema hamuogopi mtu kachaguliwa na wana Maswa.
Akichangia hoja ya Maliasili na Utalii bungeni leo,amerudia kauli yake ya malipo ya Muha iliyopingana na msimamo wa Cdm. Amesema kuna viongoz maslahi na yeye hatishwi na mavuvuzela.Mimi sio tundapoli hata wanamaswa wanajua. Ameichana cdm kwa mafumbo makalimakali na kusema haogopi chochote.Msije kutuletea viongoz Idd Amin kwa kuelekezwa na siasa za chuki na kutumia vyombo vya habari.

Watu watakaotaka Shibuda aondolewe chadema watakuwa hawaelewi lengo lake. Shibuda yuko KAZINI, anatamani sana afukuzwe ili malengo yake yatimie. Sasa badala ya kumfukuza, unamwacha ajikaange(kisiasa) kwa mafuta yake mwenyewe.
Mkuu unaweka habari nusu nusu.... ameponda viongozi wa kisiasa hasa wa Chadema kwa udhalimu, na maslahi binafsi.Amesema yeye hatishwi na Kamati Kuu na amewaonya waandishi wa habari wanaobeba maslahi binafsi ndani ya Chama. Wakati anaongea wabunge wa CDM walionekana wanyonge sanaKuhusu suala la lake la kuenguliwa kasema hamuogopi mtu kachaguliwa na wana Maswa.