KAUDO
Senior Member
- Aug 10, 2011
- 138
- 67
Askofu Msaidizi wa Jimbo Katoliki la Bukoba Methodius Kilaini amesema migogoro ya kidini inachochewa na Serikali kupuuza utaratibu wa kukutana na viongozi wa dini kama ilivyokuwa awamu zilizopita.
Hayo ni wakati akizungumza katika kikao cha viongozi wa dini na Mkuu wa Mkoa wa Kagera Fabian MassaweA
Hayo ni wakati akizungumza katika kikao cha viongozi wa dini na Mkuu wa Mkoa wa Kagera Fabian MassaweA