Posho yaanza kuleta ugomvi kwa Mukama na Nape

beyanga

Senior Member
Jul 17, 2012
183
22
Kumbe chama kimemwambia anatumia pesa nyingi bila mafanikio wakati wanachama wao wanazidi kuhama.

Na mukama kasema amenenepa sana kwa muda mfupi inaonekana haumizwi na wanachama kuhamia CHADEMA.

Kazi ya kufungua mechi za wabunge ni kujijenga yeye na sio CCM waliomtuma
 
Mukama! Teh,teh,teeeeh! Najenga taswira jinsi huo 'mustach'ulivyokuwa unapeperuka huku akiongea neno NAPE UNAZIDI KUNENEPA TU!
 
Mkikosa hoja mnaanza viroja.

Nyinyi mnaotumia fedha zetu za kodi kujenga nyumba binafsi ya Josephine na mchumba wake?

Mnaonunuwa fuso mtumba kwa millioni mia tatu na hamsini (350,000,000).

Au hayo hamyajui? Kwi kwi kwi teh teh teh!
 
Unajua kama angekuwa ni mtoto wa kike, watu wangeshaanza kumnyooshea kidole kapteni John Komba!
 
Tatizo Nape kila akikurupuka anatunga vishuguli vya kumtafutia umaaarufu binafsi, hana hata Work Plan ya shuguli zake.

Ukisikiliza mkutano wake leo na wanahabari neno MIMI kalitamka zaidi ya mara kumi kudhihirisha jinsi alivyo mbinafsi.

CDM wana bahati sana kwa CCM kuwa na Nape na Mwigulu kwani wanabomoa chama chao mchana kweupeee kusafishia njia CHADEMA
 
Mkikosa hoja mnaanza viroja.

Nyinyi mnaotumia fedha zetu za kodi kujenga nyumba binafsi ya Josephine na mchumba wake?

Mnaonunuwa fuso mtumba kwa millioni mia tatu na hamsini (350,000,000).

Au hayo hamyajui? Kwi kwi kwi teh teh teh!
dhambi inayowatafuna kabla 2015 kila kitu mtakiweka wazi wenyewe,sisi tunaishi maisha ya shida ,nyie mnakula raha,we ngoja tu
 
Dhambi mlizotemtendea ulimboka hazitawaacha salama,hapo mwanzo tu
 
Mkikosa hoja mnaanza viroja.

Nyinyi mnaotumia fedha zetu za kodi kujenga nyumba binafsi ya Josephine na mchumba wake?

Mnaonunuwa fuso mtumba kwa millioni mia tatu na hamsini (350,000,000).

Au hayo hamyajui? Kwi kwi kwi teh teh teh!

Mkuu zomba Hayo ni Kwenu na CCM. Ni Malalamiko ya Katibu Mkuu Wenu kwamba Wao Wanakondeshwa na CDM lakini yeye Shavu linamtoka. Acha Mchezo na Posho, Posho inaimarisha Muungano ha ha ha Jamaa wakiambiwa wagomee Vikao vya Bunge Kususia Muungano wakikumbuka Posho LoL ha ha ha

Mukama na Wewe si Uende
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom