GE, a major US conglomerate with interests in aviation, energy, agriculture and finance imefungua ofisi hapo jirani.
Safari zote za JK zina manufaa gani kwetu? Mbona Kibaki hasafiri sana na kazi...
Leo NCCR-mageuzi tulipeleka rasimu ya Katiba kwa Tume ya mabadiliko ya katiba saa 7 mchana, msafara uliongozwa na mwenyekiti wa chama na mimi kama mjumbe nikiwa ndani ya msafara. Huku wanafata...
SIASA
Polisi wakiwa wanamshambulia aliyekuwa mwandishi wa Channel 10,Daudi Mwangosi
Na Hakimu Mwafongo, Iringa
Posted Jumatatu,Januari7 2013 saa 9:31 AM
KWA UFUPI
"Tulikaa Iringa...
RPC wa mkoa wa Kagera Philip Kalangi amewapongeza wananchi walioua maaskari waliokuwa wameiba na kubeba meno ya tembo kwenye gari aina ya Noha. Amesema anawapongeza kwa kuwa ulinzi shupavu na...
Hii haijawah kutokea ila kwa mara yakwanza Rais wetu wa jamuhuri ya muungano wa Tanzania j. Kikwete atashuhudia upinzani mkali sana ktk serikali yake, maana kila kitu ni mulika mwizi, liwe jema au...
Siyo siri kwamba asilimia kubwa ya Watanzania hasa vijana ni wapenzi na wanaikubali sana CHADEMA. Kwa hali ilivyo sasa hata chama Tawala wameacha kutekeleza Ilani yao na sasa wanajibidiisha...
Dear JF Comrades:
The Mtwara resources debate has taken a more politicized twist in my humble opinion. We probably need fewer politicians and more economic minds if we really want to make any...
Siku nne tano Hizi nimekuwa nikishangaa sana malumbano ya kikatuni sana Kwenye majukwaa ya Kijamii, magazetini na hasa kwenye vinywa vya wachafuzi wa siasaeti Huyu ana kadi ya CCM, Huyu hana kadi...
Kadri ya siku zinavyo kwenda na siasa inavyo kua naona kama dhana ya serikali inanichanganya, nasema hivi kwasababu kuna maneno mawili yanayo nichanganya,
Mosi serikali ya Jamuhuri ya Muungano...
Wanajanvi heshima kwenu wakuu !!
Kwa mda mrefu sasa nilikuwa nikijiuliza swali moja pasipo kupata majibu, napo waona badhi ya vijana wa kitanzania wakionyesha hisia zao hadharani juu ya mapenzi...
Mimi nikienda vijijini napata kazi kubwa sana ya kuelimisha watu kuwa CCM imechoka tunahitaji chama kingine kushika dora 2015 hususani chama makini CHADEMA.
Najua napata shida kwasababu wazee...
Mbunge wa Arusha mjini jana aliwasili katka ofisi yake baada mahakama kumrejeshea ubunge wake Lema akiongea na wandishi wa habari alisema atamtambua meya hadi hapo atakapo chaguliwa kisheria...
MAONI YA CUF, CCM NA CHADEMA KWA CRC
Haya ni maoni kwa uchache kwa mujibu wa vyombo vya habari vya the Guardian na Mwananchi:
CHADEMA:
>> mfumo wa shirikisho wa serikali tatu.
Chadema...
Karibuni sana wanachama wa JF katika dondoo hii!!!!:israel:
kwa mtazamo wangu sioni umuhimu wa kutoa gesi mtwara na kupeleka bagamoyo kwa sababu tu Dar-es-salaam inatoa asilimia kubwa ya mapato...
HABARI.
UFAFANUZI WA UPOTOSHAJI.
kwa muda mrefu sasa nimekuwa nikipigiwa simu na kutumiwa MESEJI kuulizwa juu ya habari za kuvuliwa kwangu uanachama wa BAVICHA na CHADEMA.
jimboni kwangu KIBAHA...
Vikao hivi kuwa siri na waandishi wa habari kutoruhusiwa uenda kuna ajenda ya siri.
Na waandishi kutoruhusiwa chakushangaza Gazeti la serikali HABARI LEO linakuja na vichwa vya habari. CHADEMA...
Habari za weekend Watanzania wenzangu! Leo naomba tujadili siri ya vyombo vya habari na CCM. Kwa uchunguzi usio rasmi nilioufanya mitandao ya kijamii na baadhi ya vyombo vya habari...
Habari zenu wanabodi! Kumekuwa na hali ya kushuka kwa matumaini ya amani nchini.Tumeshuhudia mauaji ya mwandishi wa habari,wananchi kuchoma vituo vya polisi na vita baridi ya kidini lakini hakuna...
na Asha Bani
WAZIRI wa Maliasili na Utalii, Balozi Khamis Kagasheki, ametofautiana na Waziri mwenzake wa Ofisi ya Makamu wa Rais (Mazingira), Thereza Huviza, akipinga hatua yake ya kuzifungia...