Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

MAKUNDI maalumu jana yaliendelea kutoa maoni yao kwenye mchakato wa Katiba Mpya, huku DP kikipendekeza Rais aapishwe baada ya siku 90 tangu kumalizika kwa Uchaguzi Mkuu. Mbali na maoni hayo...
9 Reactions
53 Replies
4K Views
Monday, June 20, 2011 An attorney by profession, Mwanaidi Sinare Maajar was chosen to be Tanzania's ambassador to the United States in March 2010 and presented her credentials on September 7...
0 Reactions
136 Replies
19K Views
Naona usanii unaendelea kulitafuna taifa!kwa waelewa wa mambo tumeshanusa harufu chafu ya ufisadi ndani ya TCRA.nisiseme mengi bali nijikite kwenye swali langu au letu! Ili niweze kuona local...
14 Reactions
183 Replies
21K Views
Alhamisi, Januari 10, 2013 07:40 Na Sarah Mossi KATIKA ukurasa wa mbele wa gazeti hili kuna habari ya kukatisha tamaa inayohusiana na hali ilivyo sasa katika Serikali ya Umoja wa Kitaifa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
,kuna uwezekano wa vyama vya siasa kutumia fedha za ruzuku kuwasaidia wananch matatizo yao badala ya kulipana posho za mikutano,semina,na nk kujenga shule,zahanat, visima, na kusomesha ili kuwa...
1 Reactions
10 Replies
1K Views
Tanzania Communication Regulatory Authority (TCRA), ni chombo cha serikali chenye dhamana ya kusimamia na kuratibu vyombo vya mawasiliano nchini. Ni karibu miaka mitatu sasa tangu chombo hiki...
5 Reactions
16 Replies
2K Views
"Kipande cha nchi Chenye idadi ya wakaazi Milioni Moja Tu Kinaungana na Kipande kikubwa cha nchi chenye zaidi ya watu zaidi ya Milioni arobaini na Tatu, halafu vipande hivi viwili vinakuwa na...
31 Reactions
238 Replies
20K Views
Habari za sahizi kila siku napita nyuma ya chuo cha utalii natazama naona zaid za magari 40 ya tume ya katiba zikiwemo v8 costa na mkonga ambayo c ajabu ni mapya vile vile hayo ni ya hapa dar tu...
0 Reactions
16 Replies
1K Views
wana JF leo ubungo mataa majira tangu ya saa tano hivi asubuhi barabara ilikuwa yatengenezwa na kufanya folen iwe kubwa mno na shughuli zote kusimama kwan road ya kutoka mbez kwenda mjini ilikuwa...
0 Reactions
0 Replies
785 Views
Waungwana wana JF naandika makala hii kwa simanzi kubwa sana baada ya Mulugo kusema matokeo ya form two hayaridhishi kabisa, yaani watoto wamezidi ku-feli zaidi híi mi mböna naona kama vile hatari...
0 Reactions
0 Replies
730 Views
Siku hizi mtu akisema atagombea nafasi yoyote basi inakuwa nongwa kwanini lakini wakati ni haki ya mtu kikatiba? Wadau hebu naomba mnieleweshe hasa wale wachambuzi wazuri wa siasa najua mko humu...
0 Reactions
66 Replies
5K Views
IJUMAA, JANUARI 11, 2013 05:17 NA MWANDISHI WETU ​*Wamiliki, wanahabari wataka uhuru wa habari utambuliwe *Dk. Salim ahofia machafuko kutokana na mpasuko wa udini TUME ya Mabadiliko ya...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Yule mtu aliyedaiwa kuwa ni mwanajeshi wa JWTZ wa kikosi cha Monduli ametiwa mbaroni leo kwa ushirikiano wa jeshi la wananchi na Police. Uchunguzi wa awali umebaini kuwa kijana huyu hakuwa...
2 Reactions
238 Replies
28K Views
CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO (CHADEMA) WILAYA YA LUSHOTO TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI Ndugu wanahabari Kupitia kikao cha baraza mashauriano la Wilaya kilichofanyika mnamo...
9 Reactions
75 Replies
6K Views
Leo,nimeukumbuka mfano alioutoa Rais Mstaafu wa Awamu ya Tatu,Benjamin William Mkapa alipokuwa akilihutubia Bunge(kumradhi nimesahau tarehe). Kadiri ninavyokumbuka,Mzee Mkapa alisema: Kuna...
3 Reactions
15 Replies
1K Views
Mh Beatrice Shelukindo ameamua kuvunja ukimya baada ya kutangaza kumuunga mkono Edward Lowassa kumrithi Mh. Rais Kikwete. Shelukindo alitoa kauli hiyo Jumapili wakati akiwasalimia wakazi wa...
2 Reactions
156 Replies
16K Views
Na Denis Mlowe – Iringa Diwani wa viti maalum na katibu wa madiwani wa chama cha mapinduzi mkoani Iringa Agusta Mtemi amewataka wanachama wa chama cha mapinduzi kuepukana na tabia ya...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
The headline for this story, at Current is Growing The Empire. US Deploying Troops To 35 African Countries. Of course the DC spin is that this is all about "training" troops of these nations...
0 Reactions
33 Replies
3K Views
Wakuu. Ccm wamekata rufaa kupinga kuvuliwa ubunge kwa Dr Peter Kafumu, habari ni kama inavyosomeka hapa chini. Simba aliliambia NIPASHE kuwa rufaa ya Dk. Kafumu ilikatwa kupitia Wakili wake...
4 Reactions
120 Replies
9K Views
The following is according to my observations; Ten Male Personalities in Politics, Government and Institutions for the year. 1. Wilbroad Slaa – Chadema 2. John Mnyika &#8211...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…