Ambassador from Tanzania: Who is Mwanaidi Maajar? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ambassador from Tanzania: Who is Mwanaidi Maajar?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by PSI Factor, Jun 20, 2011.

 1. PSI Factor

  PSI Factor Member

  #1
  Jun 20, 2011
  Joined: Apr 21, 2011
  Messages: 16
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Monday, June 20, 2011

  [​IMG]

  An attorney by profession, Mwanaidi Sinare Maajar was chosen to be Tanzania's ambassador to the United States in March 2010 and presented her credentials on September 7.

  Born January 12, 1954, and raised in Moshi, Tanzania, Maajar earned a bachelor of laws degree in 1977 and a master of laws degree in 1982, both from the University of Dar-es-Salaam.

  Maajar worked as senior legal advisor with the Central Bank of Tanzania (1978-1983) and then as business manager with Coopers & Lybrand (1983-1991), the predecessor firm of PricewaterhouseCoopers, in Tanzania.

  In 1991, she helped found the law firm MRN&M (Maajar, Rwechungura, Nguluma & Makani) Advocates, and was the lead partner of the firm's mining, natural resources and corporate law portfolio. She also has practiced as an advocate of the high court of Tanzania specializing in corporate and mining law litigation.

  Maajar was a partner at Rex Attorneys, a leading law firm in Tanzania established in early 2006 following the merger of MRN&M and Epitome Advocates, another leading law firm in the country.

  Before being selected to serve as ambassador to Washington, she was Tanzania's high commissioner to the United Kingdom from April 2006 to July 2010. The post of high commissioner between two Commonwealth countries is the equivalent of the position of ambassador.

  Maajar was a founding member in 1990 of the Tanzania Women Lawyers Association, a non-governmental organization established to help women and children access the justice system and to advocate for women's rights, and served as its chair from 2001-2003. She helped establish the East Africa Law Society (EALS) in 1995, and she was chair of the Social Action Trust Fund (SATF), a joint venture of the governments of the United States and Tanzania, the profits from which were used to help organizations dealing with HIV/AIDS orphans.

  She also has been a member of the board of several public enterprises, government entities and private companies, including the non-profit Muslim Development Fund (MDF); the non-profit Women and Development Company Limited (WAMA); the African Banking Corporation, DAWASA, the company responsible for building infrastructure for clean water and sewerage in Dar es Salaam; and Tanga Cement Limited.

  Maajar speaks Kiswahili, English and French. She is married to Shariff Hassan Maajar.

  Source: http://www.allgov.com/Appointments_and_Resignations/ViewNews/Ambassador_from_Tanzania__Who_is_Mwanaidi_Maajar_110620
   
 2. myhem

  myhem JF-Expert Member

  #2
  Jun 20, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 932
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Mbona hujazungumzia jinsi ambavyo ameshiriki kuiingiza mkenge TANESCO dhidi ya DOWANS?
  Huyu ni fisadi mwingine mkubwa ambaye hastahili hata kuwa balozi wa nyumba kumi kumi.
   
 3. VUVUZELA

  VUVUZELA JF-Expert Member

  #3
  Jun 20, 2011
  Joined: Jun 19, 2010
  Messages: 3,106
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Impressive resume.
  I had an opportunity to meet her in person at a party last fall. I like her simplicity and humble personality. She is very polite, eager to listen and paying attention when taliking to her, always smiling and can talk to anyone, unlike most of her predecessors who were not approachable at all. On numerous occasions I called the embassy for business maters and believe me or not the staff there are kinda rude on the phone, may be forgetting the fact that they are no longer in bongo and they need to respond to callers with courtesy and good telephone manners pertaining to the American standards. Mko US sasa na majibu yenu ya kujibu watu ovyo myaache hukohuko bongo. I hope the embassy staff would learn a lot from her. Okidoki!!
   
 4. p

  politiki JF-Expert Member

  #4
  Jun 20, 2011
  Joined: Sep 2, 2010
  Messages: 2,356
  Likes Received: 154
  Trophy Points: 160
  watumishi wa ubalozi wa tanzania washington ni mzigo na very annoyed, siku nilipiga simu ikaita karibu 20 minutes bila
  kupokelewa na hii ilikuwa saa 11:00 am asubuhi mpka unajiuliza ni ofisi gani hapa USA unaweza kupiga simu mara karibu
  kadhaa kwa siku bila kupokelewa na halafu ikapokelewa na mpokeaji alikuwa so rude. mpaka unajiuliza kama utaki kufanya
  kazi hapa nenda katafute kazi sehemu nyingine umekubali kukaa hapa hudumia watu hutaki go find another job.
   
 5. pascaldaudi

  pascaldaudi JF-Expert Member

  #5
  Jun 20, 2011
  Joined: Mar 25, 2009
  Messages: 534
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Sasa na nyie mnafikira duni, kwa nini msilipoti hili suala kwa balozi mwenyewe au kwa waziri wa mambo ya nje wa Tanzania, kwa nini mnawalealea?? hao si waajiliwa wa TZ wanaolipwa na kodi za watanzania??? Nilitegemea uandike kuonesha hatua ulizochukua, kwani kulalamika bila kuchukua hautua ni utoto, na unawafanya hao jamaa wasijifunze.
   
 6. chipanga

  chipanga JF-Expert Member

  #6
  Jun 20, 2011
  Joined: Sep 17, 2010
  Messages: 661
  Likes Received: 141
  Trophy Points: 60
  Rex attorneys... kweli Tanzania ni zaidi ya unavyoijua!
   
 7. Arafat

  Arafat JF-Expert Member

  #7
  Jun 20, 2011
  Joined: Nov 17, 2009
  Messages: 2,582
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 0
  Hii CV ya huyu mama kuwa thread ni ya nini hapa? au Huyu mama anatafuta kazi, mbona hujaongelea anavyohasisi miradi ya madini ya mama kikwete na jinsi alivyochangia miliioni 800 kwenye uchaguzi wa kikwete ili apate ubarozi!
   
 8. bwegebwege

  bwegebwege JF-Expert Member

  #8
  Jun 20, 2011
  Joined: Jul 30, 2010
  Messages: 1,031
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  Tusiwe wavivu wa kufanya uchambuzi!! Hivi, all all the people waliopo Foreign Affairs, waliosomea International Relations & Diplomacy...wenye Ph.D na uzoefu wa miaka mingi JK alimuona Mama Majaar peke yake??.....kuna kingine zaidi ya hiyo CV (angempa kazi Ministry of Justice basi)...huyu alipelekwa nje...kurahisisha baadhi ya mambo! Fumbueni macho na masikio...nuseni!!!
   
 9. Ritz

  Ritz JF-Expert Member

  #9
  Jun 20, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 42,252
  Likes Received: 4,671
  Trophy Points: 280
  Arafa, kila nikisoma posts zako humu Jf, 99% ni Kitchen Party
   
 10. VIKWAZO

  VIKWAZO JF-Expert Member

  #10
  Jun 20, 2011
  Joined: Apr 9, 2011
  Messages: 1,910
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  hiyo REX
  sasa nimeelewa sababu za kupeana ubalozi
  hawa watu MA-bag yao hayakakuguliwi na huyu mama kutokana na tabia za REX kutokuwa na uzalendo kuna kitu hapo kinaendelea
   
 11. T

  Tikerra JF-Expert Member

  #11
  Jun 20, 2011
  Joined: Sep 3, 2008
  Messages: 1,704
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Hii hadithi yote inatusaidia nini.Does it help us feed our children?Surely no.To me it's rubbish.
   
 12. Mtanganyika

  Mtanganyika JF-Expert Member

  #12
  Jun 21, 2011
  Joined: Jul 18, 2007
  Messages: 1,611
  Likes Received: 280
  Trophy Points: 180
  Naona tangu amekuja USA haonekani kabisa kwenye Michuzi blog, maana alivyokuwa UK ilikuwa kama Mr. Nice mara leo yupo B'gham kwenye Kitchen Party, mara leo yupo kwenye ubatizo. Lakini alipokuja USA things are different kabisa, amejikita naona kuongea na Investor na kuona how atakuwa more effective kutafuta partners na Law firm za NY.

  Mpaka leo hii yeye ni active partner wa Rex Attorney, tumeuliza zaidi ya mara moja jee hiyo sio conflict of interest? Majibu ya CCM ni abrakadabra...
   
 13. SHERRIF ARPAIO

  SHERRIF ARPAIO JF-Expert Member

  #13
  Jun 21, 2011
  Joined: Aug 25, 2010
  Messages: 7,081
  Likes Received: 1,817
  Trophy Points: 280
  Hayo ya Rex Attorneys mimi siyajui na hata kama anahusika nani wa kumlaumu? yeye ama aliyemteua? Nimepata kukutana naye kwenye gala moja kule Los Angeles. Ni mtu poa sana na namkubali.
   
 14. VIKWAZO

  VIKWAZO JF-Expert Member

  #14
  Jun 21, 2011
  Joined: Apr 9, 2011
  Messages: 1,910
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  HATA KIKWETE ILIKUWA HIVYO ni mtu poa na bado ni mu poa anacheka cheka tu hata muda wa kuwa serious
  huyo mama kama ni founder wa REX lazima katumaliza tu
   
 15. SHERRIF ARPAIO

  SHERRIF ARPAIO JF-Expert Member

  #15
  Jun 21, 2011
  Joined: Aug 25, 2010
  Messages: 7,081
  Likes Received: 1,817
  Trophy Points: 280
  sasa mkuu kama una concrete evidence ya huyu dada na ufisadi si uanike hapa jamvini
   
 16. VIKWAZO

  VIKWAZO JF-Expert Member

  #16
  Jun 21, 2011
  Joined: Apr 9, 2011
  Messages: 1,910
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  hii sio hadhithi fuatilia Rex Attorneys, na mikataba ya TANESCO ndio utaelewa kwa nini hii iko hapa
   
 17. VIKWAZO

  VIKWAZO JF-Expert Member

  #17
  Jun 21, 2011
  Joined: Apr 9, 2011
  Messages: 1,910
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  mkuu connect hii dot Rex Attorneys, na huyo mama .ina maana mkuu hujui huyo firm imefanya nini TANESCO
  hafaru ni huyo mama aliyea andika barua kutoka huko USA ubalozi akitaka serikali ilipe hela za mambo binafsi ya mfanyakazi wa ubalozi wetu kwa kumnyanyasa mfanyakazi wake wa ndani

  ubalozi wa uk alikotoka CAG kaweka bayana kuna zaidi ya milioni 500 zimetumika bila kufuata utaratibu
   
 18. W. J. Malecela

  W. J. Malecela Tanzanite Member

  #18
  Jun 21, 2011
  Joined: Mar 15, 2009
  Messages: 13,616
  Likes Received: 1,908
  Trophy Points: 280
  - Wa-Tanzania wakati mwingine tuache majungu majungu, huyu mama ni kichwa na anafaaa sana binafsi ninamkubali, akiwa UK amelitangaza sana taifa letu kwenye utalii, amewaunganisha sana wananchi wetu kule, sijawahi kusikia Chadema wamefungua tawi kule akakataa kwenda, toka amefika DC tayari tunausikia tena ubalozi wetu kule, I mean mnyonge mnyongeni!

  - However: sina uhakika alifikaje kwenye ubalozi, lakini in her case the end justifies the means!, Wa-Tanzania tuache majungu majungu huyu mama ni kichwa sana na taifa tunahitaji viongozi kama huyu! Creative na Active!


  William @ NYC, USA.
   
 19. VIKWAZO

  VIKWAZO JF-Expert Member

  #19
  Jun 21, 2011
  Joined: Apr 9, 2011
  Messages: 1,910
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145

  kwani LOWASA sio kichwa
  - hiyo ya utalii tuliibiwa tu hakuna kitu kilichofanyika sikuona impact ya yale matangazo kwa waingereza nilichokuwa nasikia ni malaria za CHERRY COLEY tu hizo hela za utalii ni kijiko cha sukari bahari.
  watalii wanakuja bongo ni kwamba wafanyeje tu na wanaletwa na vitu ambavyo awawezi kuvipata mahali kwingine kutoka na wizi na miundo mbinu hapo alichofanya huyo mama na kundi laki ni kununua nepi nyingi za mtoto wakati wamimba mtoto akatoka amekufa
   
 20. W. J. Malecela

  W. J. Malecela Tanzanite Member

  #20
  Jun 21, 2011
  Joined: Mar 15, 2009
  Messages: 13,616
  Likes Received: 1,908
  Trophy Points: 280
  - Mkuu chonde chonde, huyu mama ameacha shirika lake la Sheria, la 50 Million Shillings per year kulijenga taifa na mshahara wetu mbuzi, please mkuu yale matangazo yametuinua sana taifa, I mean sio kila ishu iwe ligi tu kwenye hili taifa tunao wachapa kazi na huyu mama ni mmojawapo ,mimi sijaona wala kusikia makosa yake kwa taifa na ninaomba kunawa mikono na hii mada, maana sasa hivi mtaanza kumtukana mama wa watu bila sababu za msingi, I mean sometimes tuwe na shukrani wanapotokea viongozi wanaofaa, baadala ya kuwashambulia tuu! khaaaaa! Huyu mama amekosa nini hasa?

  - Alipokwenda UK ameshambuliwa wee! lakini kwenye ukweli uongo hujitenga kule UK ameacha historia ya kuchapa kazi, huyu ni mchapa kazi sana na anafaa sana kwa taifa, sio goi goi!


  Willie @ NYC, USA.
   
Loading...