Sio kweli Tanzania ni Maskini

Sio kweli Tanzania ni Maskini

Brodre

JF-Expert Member
Joined
Aug 23, 2012
Posts
2,587
Reaction score
1,858
Habari za sahizi
kila siku napita nyuma ya chuo cha utalii natazama naona zaid za magari 40 ya tume ya katiba zikiwemo v8 costa na mkonga ambayo c ajabu ni mapya vile vile hayo ni ya hapa dar tu vipe wale walioko kwenye kukusanya maoni huko? kuna ulazima wa kuwepo magari mengi kiasi hiki roughly ni bilioni kadhaa zimetumika hapo kununua hayo magari. inaonesha yamenunuliwa hadi yakazidi pia yanahitaji mafuta na madereva. haya haitoshi tume ikimaliza muda wako si ajabu yakaanza kugombaniwa na kuwekewa namba za watu binafsi. Bado mnalalamika Tanzania ni Maskini
 
tuna umasikini mkubwa wa kufikiri na kuamua na kutekeleza mazuri tuliyojipangia.
lakini mali tunazo bwelele
 
Wangerudisha pesa zetu walizozificha huko ughaibuni, wakataifisha mali za mafisadi wote, wakaacha kutorosha nyara zetu na wakawa wazalendo katika kushughulikia matatizo sugu ya nchii hii tungekuwa Dunia ya kwanza ndani ya Afrika.
 
Sio siri nahisi majirani wanatucheka ingekua ni nchi yenye watu wenye msimamo Tanzania ingekua moto wa kuotea mbali nini ambacho hatuna?
1. Vivutio vyote vya utalii vipo milima mbuga kubwa za wanyama nakadharika
2. Madini dhahabu almasi Tanzanite ambayo iko Tanzania tu duniani na ingekua source ya utajili wetu, Makaa ya mawe nakadharika
3. Maziwa makubwa kama Victoria na ziwa Tanganyika.
4. Bahari kwa ajili ya uchukuzi na vingine
5. Mafuta na gesi.
6. sehemu kubwa yenye ardhi yenye rutuba.

Mbn Rwanda ni nchi ndogo tu na haina raslimali kubwa lakini iko mbali kiuchumi?

Watanzania wenzangu tuamle sasa inatosha hatuwezi kuwa tunawafanyia kazi watu wachache walioko maofisini Hata Mungu alisema kila mtu ale lwa jasho lake kwanini wanakula lwa jasho letu?
 
Sasa unataka Tume ya Katiba iwe na gari moja au mbili? I naonekana nyie ndio msiojua hata umuhimu wa Katiba. Mizunguko ya nchi nzima inayotakiwa Kamati na wajumbe wake waifikie inahitaji sana usafiri wa ukweli.Maelezo yako yamekaa kishabikishabiki na chuki kwa serikali.
 
Uko mkoa gani? kama ni ivo kwanini yawe yanapaki pale kila siku? kwahiyo wajumbe sasa hivi wako dar hawako mikoani si ndio?
 
Wapo waliogoma kushiriki katika mchakato huu,leo hii wako kimbelembele kupeleka maoni yao.Chadema na Jukwaa la Katiba waligomea sana mswaada wa uliopitishwa kuhusu Katiba lakini leo hii hao waliogomea ndio wanataka mawazo yao mgando yaingizwe kwenye Katiba mpya.Waachieni jukumu la Katiba wanaowatakiwa mafanikio watanzania.Hongera Rais Jakaya Kikwete na Chama Cha Mapinduzi kwa uamuzi wenu mzuri na wenye manufaaa kwa watanzania wa leo na kesho.Mungu ibaririki Tanzania.
 
Ni kweli Nchi yetu ni tajiri sana hilo halina ubishi, ila sasa na wewe unapoongelea vigari vya tume sasa ulitaka watembee kwa miguu! ila kama watatumia kwa manufaa yao binafsi hapo ndipo makosa lakini kwa manufaa ya kutupatia katiba mpya hata helkopta wawape tu ila tunataka katiba ya watanzania na si katiba ya wanaccm.

Magari ni vitu vidogo sana mkuu kwa Tume ya Muhimu na ya maana kama hii ya katiba, mimi napinga magari kwa maDC, maRC na wengine wasiokuwa na tija hapa nchini kwetu.
 
Sijakataa wao kua na magari mkuu lakini nahc yamezidi uje utembelee hilo eneo ujionee mwenyewe
 
Habari za sahizi
kila siku napita nyuma ya chuo cha utalii natazama naona zaid za magari 40 ya tume ya katiba zikiwemo v8 costa na mkonga ambayo c ajabu ni mapya vile vile hayo ni ya hapa dar tu vipe wale walioko kwenye kukusanya maoni huko? kuna ulazima wa kuwepo magari mengi kiasi hiki roughly ni bilioni kadhaa zimetumika hapo kununua hayo magari. inaonesha yamenunuliwa hadi yakazidi pia yanahitaji mafuta na madereva. haya haitoshi tume ikimaliza muda wako si ajabu yakaanza kugombaniwa na kuwekewa namba za watu binafsi. Bado mnalalamika Tanzania ni Maskini

Mkuu Tanzania ni nchi moja tajiri sana hila tumefika hapa tulipo kwa sababu ya wachumia tumbo wa CCM. Tanzania kuna watu wana hela chafi ambayo huwezi hata kufikiria na kuamini ukiambiwa. Kuna watu wamejilimbikizia mali ambazo hata vizazi vyao vitano hawazimaliza. Hii nchi imekuwa na sera kama ya Chadema ya kushikizana adabu tungekuwa mbali sana.
Juzi kulikuwa na programm BBC (Africa) wanaonyesha natural resources za East Africa ambazo nyingi ziko Tanzania. Huwezi kuamini hivi vyote viko Tanzania. Tanzania kuna sehemu ambayo ina udongo ambao ni most fertile in the world lkn hakulimwi kitu.
 
Nahic huu udongo ndo ule wanatudanganya kuwa unasumu na wanaenda kuuteketeza nje kama vile Tanzania haiwezekani
 
Mkuu Tanzania ni nchi moja tajiri sana hila tumefika hapa tulipo kwa sababu ya wachumia tumbo wa CCM. Tanzania kuna watu wana hela chafi ambayo huwezi hata kufikiria na kuamini ukiambiwa. Kuna watu wamejilimbikizia mali ambazo hata vizazi vyao vitano hawazimaliza. Hii nchi imekuwa na sera kama ya Chadema ya kushikizana adabu tungekuwa mbali sana.
Juzi kulikuwa na programm BBC (Africa) wanaonyesha natural resources za East Africa ambazo nyingi ziko Tanzania. Huwezi kuamini hivi vyote viko Tanzania. Tanzania kuna sehemu ambayo ina udongo ambao ni most fertile in the world lkn hakulimwi kitu.

Napenda kurudi tena na tena kwamba taifa hili zuri lenye kila aina ya raslimali halitaweza kujitoa katika umasikini wake bila wananchi wake hasa masikini wa mjini na vijijini watakapo tambua chanzo cha umaskini huu uliotamalaki kila kona ya vijini na miji yetu. Taifa hili haliweza kupata maendeleo ya watu wake wote kama hatutaunganisha nguvu zetu wote kukiondoa chama cha CCM madarakani. WaJF na members wa mitando mingine wa social media ni jukumu la kila mtanzania mmoja mmoja kuwaelimisha ndugu zetu hasa wa vijijini ni kwa namna gani hawasitahili kuichagua CCM tena. Nitaandika tena na tena ktk jambo hili.
 
Back
Top Bottom