The Stig
JF-Expert Member
- Apr 11, 2011
- 1,113
- 1,106
Tangu tume ya katiba ianze kusikiliza makundi maalum, naona yanatolewa mapendekezo yanayofanana na mapendekezo ya sheria. Kwa mfano, leo Mengi kasema serikali isiwe na vyombo vya habari. Vilevile, wahariri wamependekeza eti wahariri wasishtakiwe kwa lolote wanaloandika!!!
Pamoja na kwamba mapendekezo yao ni ya kidhanifu mno, kibaya zaidi ni kwamba wanapendekeza mambo ambayo hayastahili kuwa kwenye katiba. Katiba haitakiwi iwe specific kiasi hicho. Katiba inatakiwa ielekeze tu "range" within which watunga sheria wanatakiwa waji-limit wanapotunga sheria. Siyo kazi ya katiba kueleza sheria per se.
Kuna wachangiaji wengine (NCCR, CDM etc) wamependekeza eti Kiswahili ndiyo itangazwe ni lugha ya taifa kwenye katiba. Sijui wanaelewa maana ya hili pendekezo. Yaani wanaweka environment ambayo mtu akifanya uamuzi kwa kutumia lugha ya English, kwa mfano, basi anaweza akatokea mtu mwingine kasema kuwa huo uamuzi ni uncostitutional kwa sababu umefanywa kwa lugha ambayo siyo kiswahili.
Tanzania ni nchi yenye wau wanaongea lugha tofauti; English, Kiswahili, Frech, Dutch, Gujarat, etc. Lugha nyingi kati ya hizi hata zimeendelea kuliko Kiswahili. Kwa nini uje utamke kwenye katiba kuwa lugha zote ni batili isipokuwa kiswahili. Watu waache narrow thinking.