PISTO LERO
JF-Expert Member
- Mar 8, 2011
- 2,819
- 1,454
Mjumbe wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba Bw. Awadh Ali Said (kulia) akiongea na Ujumbe wa Baraza la Hindu Tanzania kabla ya Baraza hilo kuwasilisha maoni kuhusu Katiba Mpya katika ukumbi wa Karimjee, jijini Dar es Salaam (Jan 11, 2013). Ujumbe huo uliongozwa na Makamu Mwenyekiti wa Baraza hilo Bw. Dinesh Vaishnau (Wa tatu kushoto)
NASHIDWA KUELEWA NINI MAANA YA MAKUNDI MAALUM.
Wahindi walijitenga na watanzania wengine kutoa maoni yao wakati tume ikipita mitaani kuchukua maoni ya katiba. Na sasa wamejiweka katika makundi maalum na kwenda kutoa maoni yao kivyao vyao. inamaana wao ndiyo watanzania special zaidi ya wengine na vipi??
HAWA WATU MIMI SIWAELEWI KABISAAAA,
WANAJIITA WATANZANIA LAKINI WANAJITENGA NA WATANZANIA WENZAO KILA MARA INAPOTOKEA SHUGHULI ZA KITAIFA NA KUJIFANYA WAO NI MAALUM SANA KULIKO WENGINE KWANINI??
KAMA NIMEKOSEA NIKOTAYARI KUREKEBISHWA,