Gesi ya Mtwara itagawiwa Dodoma

Gesi ya Mtwara itagawiwa Dodoma

Petro E. Mselewa

JF-Expert Member
Joined
Dec 27, 2012
Posts
10,353
Reaction score
26,194
Ni maono yangu tu. Kwamba Serikali,kupitia Wizara ya Nishati na Madini, inalisubiri kwa hamu Bunge la Februari. Itawasilisha taarifa/hoja ya dharura juu ya gesi asilia ya Mtwara. Kama ni hoja,hoja itajadiliwa na kupigiwa kura. Wakuiunga mkono watashinda. Gesi itagawanywa vile Serikali itakavyo pale Dodoma Bungeni. Vuguvugu lote la Mtwara litaishia hapo. Mwenzangu unasemaje?
 
Maliasili za nchi hii hazigawanywi Bungeni! Zinapigwa juu kwa juu, ndiyo maana unasikia migao tayari ipo Uswisi!
 
Ni kweli Mkuu.Lakini,mgawanyo wa gesi utafanywa ili kuzima mtifuano wa gesi ya Mtwara
 
Usitegemee kuna jipya zaidi ya viini macho toka kwa wakoloni hawa.
Ni maono yangu tu. Kwamba Serikali,kupitia Wizara ya Nishati na Madini, inalisubiri kwa hamu Bunge la Februari. Itawasilisha taarifa/hoja ya dharura juu ya gesi asilia ya Mtwara. Kama ni hoja,hoja itajadiliwa na kupigiwa kura. Wakuiunga mkono watashinda. Gesi itagawanywa vile Serikali itakavyo pale Dodoma Bungeni. Vuguvugu lote la Mtwara litaishia hapo. Mwenzangu unasemaje?
 
Ni maono yangu tu. Kwamba Serikali,kupitia Wizara ya Nishati na Madini, inalisubiri kwa hamu Bunge la Februari. Itawasilisha taarifa/hoja ya dharura juu ya gesi asilia ya Mtwara. Kama ni hoja,hoja itajadiliwa na kupigiwa kura. Wakuiunga mkono watashinda. Gesi itagawanywa vile Serikali itakavyo pale Dodoma Bungeni. Vuguvugu lote la Mtwara litaishia hapo. Mwenzangu unasemaje?

Kwani wananchi wa Mtwara watashiriki kupiga hiyo kura? Wao wanasubiri on the ground. Kura za bungeni haziwahusu.
 
Katika mambo muhimu ambayo yanapaswa kufikiwa muafaka ni suala hili la gesi ya mtwara,ndio serikali kupitia bunge lake tukufu inabidi kuangalia suala hili kwa makini vinginevyo tutapoteza nguvu kubwa katika kusini mwa tanzania,kweli kabisa wanayo haki ya kueleza kile kilicho ndani ya mioyo yao,kwani serikali ikianza na mtwara ikafuata lindi kuna ubaya gan wakamalizia dar-es-salaam na maeneo mengine?ni kitu cha kujiuliza,jaman wapi tunakwenda!tutekeleze kauli ya baba wa taifa kuwa xote ni wamoja na pale penye lasilimali tushikamane kuilinda xaxa hili la kila kitu dar-es-salaam linatoka wap?!kwani tanzania ni hapo dar tu?au na mikoa mingine.
 
Back
Top Bottom