Dkt. Massawe: Upembuzi yakinifu finyu, Upendeleo huenda ni sababu ya uamuzi tata wa kujenga bomba la gesi ya Mtwara-Dar es Salaam
Mgogoro kama huu wa wanamtwara kutoridhika na gesi ya Mtwara...
Dkt. Massawe: Upembuzi yakinifu finyu, Upendeleo huenda ni sababu ya uamuzi tata wa kujenga bomba la gesi ya Mtwara-Dar es Salaam
Mgogoro kama huu wa wanamtwara kutoridhika na gesi ya Mtwara...
Vurugu kubwa inaendelea muda huu kati ya polisi na wenye boda boda, milio ya mabomu na risasi zinzsikika muda huu eneo la Makongoro Mission jijini Mwanza.. Sababu halisi bado hazijaeleweka!
Hivi karibuni wakati anaongea ktk kongamano la wanafunzi wa Elimu ya juu, Moja ya mambo ya msingi aliyoyazungumzia ni Msimamo wake kuhusu Yeye kugombea Urais 2015.
Alisema tangu kumalizika kwa...
Katika ziara hiyo, Galawa alisema serikali imesisitiza kwamba hairuhusu mtu yeyote kuhamia katika eneo hilo kwa nia ya kutaka kupewa ardhi, kuvuna mazao ya misitu, kuchoma moto nakukata miti...
salmin Amour Juma: Aliwawahi kusema wazi kwamba Hakuna babu wa taifa au baba wa taifa. Maamuzi yao yataishia Chumbe tu
Aboud Jumbe Mwinyi: Kangolewa baada ya kutaka Zanzibar huru
Karume: Anaitwa...
SAKATA la Halmashauri ya Jiji la Mwanza kutapeli Sh1.6 bilioni za Mfuko wa Taifa wa Hifadhi ya Jamii (NSSF) limeingia sura mpya baada ya Mbunge wa Jimbo la Mtera, Livingstone Lusinde kulifikisha...
Katika taifa kuwa na mawazo yanayotofautiana ni jambo jema na likitumiwa vizuri linaleta tija. Waungwana na watu wenye upeo mpana wanathamini sana mawazo yanayo kinzana maana hapo ndio unapoweza...
Sasa hivi uchafu uchafu wote unatoka ambao ungewasumbua close to 2015, sasa swali langu nauliza huu unaotoka unajichuja wenyewe au unashindwa kustahimili displine za usafi? Nawapa hongera sana...
Kosa kubwa lilofanywa na watanzania ni kuamini kuwa sera zilizokuwa zinaletwa na CHADEMA za majimbo ni za kibaguzi na zenye nia ya kutugawa watanzania, tungezikubali zile na kujaribu kuona mbali...
Hili ni Angalizo:
Wakati watu wanaangalia yanayotokea ndani ya CHADEMA na jinsi inavyotafuta njia ya kurudisha nidhamu na umoja wa lengo ndani ya chama wapo watu wanaofikiria kwa kufanya hivyo...
Huko nyuma niliweka ushauri wangu hapa jukwaani kuhusu huu ulafi wa CHADEMA kupokea wananchama kutoka CCM na vyama vingine na kuwapa madaraka. Wengi walioingia kwa mbwembwe chamani siyo waumini wa...
Tulipopata uhuru tuliamini ndiyo fursa pekee tuliyokuwa tunaisububiri ya kujiamualia mambo yetu wenyewe pasi na shuruti toka kwa watu weupe(wakoloni).Uhuru huu tulioupata uliaminisha kuamua mambo...
UTAFITI NILIOFANYA SIKU ZA KARIBUNI KUPITIA VYOMBO VYA HABARI NA JF
Ni wazi sasa Dk slaa anaanguka kisiasa.
Hakuna ubishi kwamba JF ndio iliompandisha chati DK SLAA na sasa ndio itayomuangusha...
Nimeona katika habari kwamba katibu mkuu wa CHADEMA daktari Slaa amejitetea kwamba hakuchukua mkopo wa milion 140 badala yake alikopa milion 20.
Lakin niseme kweli sijamwamini kwa kuwa ametumia...
Inawezekana watu wengi hatuna uelewa na suala hili,
kuna ubishi unaendelea hapa juu ya familia ya rais wa tanzania inaishi wapi, wapo wanaosema anaishi ikulu na wapo wanaosema anaishi kwenye...
Wanabodi,
Magamba yameanza kuweweseka na kuchanganyikiwa, itakumbukwa leo wametoa story hapa JF ya kuhusu kuhama kwa Mwenyekiti wa Chadema wa Halmashauri ya Wilaya ya Kibaha Vijijini Ndg Abdallah...
CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimejibu CCM kuhusu kauli zake za hivi karibuni kuwa Chadema itakufa. Akihutubia Mwanza hivi karibuni, Nape Nnauye alikaririwa akisema CHADEMA itakufa...
mwaka 2010 nccr mageuz ilipata viti bungen.mkosamal,machar,kafurila vit maalum na baadaye mbatia.sasa vijana weng wanashawishika kujiunga na weng kutoka cdm wanakodai kuna udin.ukabila,ukanda.na...
tunasikitishwa sana na ukimya huu unaoendelea dhidi ya viongozi wetu wakuu ndani ya chama chetu cha ukombozi chadema dhidi ya upotoshaji wa serikali na dharau tunazofanyiwa wana kusini juu ya...