WIZARA YA UCHUKUZI
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
Tarehe 27 Agosti, mwaka jana, Waziri wa Uchukuzi aliunda Kamati ndogo ya Uchunguzi ya watu saba kubaini chanzo cha matatizo yanayozorotesha...
Katika gazeti la Fahamu la januari 22 kuna habari inayosema zaidi ya asilimia 60 ya wabunge wa CHADEMA wanaweza kuachia ngazi baada ya uchaguzi wa ndani wa chama hicho endapo mbowe ataendelea...
Siyo siri,kama utabahatika kupita kila kona ya nchi utapenda kuona watoto,vijana wa kike na kiume,kina mama na kina baba wa rika la kati,wazee ambao wanajiamini,hawana hofu wala mashaka ni...
My take;
Wasiwasi wangu ni iwapo baadaa ya mlo na vinywaji wahariri wanaweza kweli kumuuliza maswali ya msingi kabisa kuhusu mwenendo wa serikali yake katika masuala muhimu.
Na hasa...
1. Yahitaji uangalifu mkubwa sana katika kumpata kiongozi bora. Tusitegemee sana demokrasia katika ngazi zote peke yake, tukidhani kwamba ndio jawabu la mambo yote mazuri. Hekima za wadau ni...
Hapa nilikuwa napendekeza kuwa Rais asiwe mkuu ktk chama chake awe chn ya chama hii itamrahsishia mwenyekt kumbana Rais kutekeleza ilani za chama......Ni hayo tu wana JF
Katika Kile kinachoonyesha kuwa CHADEMA inakwenda kuchukua dola 2015, Shule za sekondari zinazomilikiwa na Serikali zimeanza kuikumbatia CHADEMA.
Katika hali isyotarajiwa, kamati ya shule ya...
Haiyumkiniki kwamba kuumbuliwa kwa masalia ambao hapo awali walionekana ni makamanda mahiri ndani ya chama kumeleta taharuki kubwa kwenye core ya CHADEMA. Walioondolewa ni sehemu tu kwa sababu...
Baada ya kuchaguliwa na kuanza kazi kwa mbwebwe, Katibu mkuu wa CCM Abrurahaman Kinana, ametoweka ghafla katika majukwaa hasa baada ya kukumbwa na Zomeazomea pamoja kuandamwa na shutuma za mauaji...
Katika hali isiyo ya kawaida viongozi wote wa CHADEMA Wametimuliwa kwa makosa mbalimbali, ikiwepo ufisadi.
Mwenyekiti wa sasa aliyerusha taarifa hizo kwenye fb, amemtaja Felex Sanzya kuwa ndiye...
Willibrod Slaa
Hoja ya kujikopesha kwa sura ya ufisadi ni "mfu" nimetamka nilikopa 20 kwa kuwa watumishi wa vyama hawawezi kukopa kwingine. Aidha siyo 140 Million. Zote 20 m zililipwa awamu ya...
Habari wana JF ni mda mrefu nawaza nini tatizo kwenye mfumo wetu wa elimu kwann watoto wa vigogo hawasomi shule za kata/kawaida ambazo viongozi wa sisiem wanazisifia kila uchwao! Nina mifano hai...
HABARI
Na Zacharia Osanga (
email the author)
Posted Jumatatu,Januari21 2013 saa 22:29 PM
KWA UFUPI
Sababu kubwa za kuipa barabara hii jina hili ni kuwa Rais Arafat alizuru mara...
Tangu uchaguzi wa vyama vingi Tanzania 1995,vyama vya upinzani havijawahi kukubali kuwa vimeshindwa na kudai vimeibiwa kura.
1.wasiwasi huu unatoka wapi?.
2.uliwahi kutolewa ushahidi juu ya...
Hawa vijana walikuwa wameandaliwa sana na CCM kumwangamiza Dr Slaa na CHADEMA. Angalia majibu yake kweye FB yake. Ila kwa kweli hakuna madhara yeyote CHADEMA itapata kutokana na wasaliti hawa...
Leo ndio nimestuka na kuanza kujiuliza wapi yalipo yale magari ya akina Mringo na wenzake ambayo yalifikia mahali cha kutukosesha amani ya usalama wa watoto wetu kwa kila dakika kupita mitaani...
Likizo yangu ya mwaka huu ilikuwa miongoni mwa likizo bora kama nilivyo tabiri kabla ya hapo.
Kazi zangu ninazozifanya na kunipatia riziki zinanifanya nisitumie muda wangu vyema katika...
ALIYEKUWA Mbunge wa Igunga, Dk. Dalaly Kafumu (CCM), ambaye alivuliwa ubunge na Mahamaa Kuu Kanda ya Tabora Agosti mwaka jana, amekata rufaa kupinga hukumu hiyo.
Akisoma hukumu hiyo, Jaji wa...