Kulikoni kimya cha Kinana?

Kulikoni kimya cha Kinana?

Muke Ya Muzungu

JF-Expert Member
Joined
Jun 17, 2009
Posts
3,444
Reaction score
265
Baada ya kuchaguliwa na kuanza kazi kwa mbwebwe, Katibu mkuu wa CCM Abrurahaman Kinana, ametoweka ghafla katika majukwaa hasa baada ya kukumbwa na Zomeazomea pamoja kuandamwa na shutuma za mauaji ya Tembo na Faru.

Leo katika mizunguko yangu mjini, nilimuona mheshimiwa akiingia hoteli moja ya kifahari jijini akiwa na hali ya kuonyesha either kuwa mgonjwa au kuwa na mawazo mazito.

Ila pia kumekuwepo uvumi wa chini kwa chini unaomnukuu kiongozi huyo akimlalamikia Nape na Mwigulu kujinyakulia madaraka yote ndani ya Chama, ambayo matokeo yake inaonyesha kuzidi kukibomoa CCM...... Jamani kulikoni na Mzee Kinana? Ni mgonjwa, au tatizo ni nini?
 
Secretari ya kamati kuu ya CCM haitafanya kazi ipasavyo mpaka Nape na Mwingulu watoke,CCM inakufa kabla ya 2015 kutokana na hawa jamaa wawili,waropokaji na propaganda za maji taka mpaka wananchi wameona wazee wenye busara CCM kama wehu
 
Kuna mahali nilisoma mdau mmoja aliandika kuwa tangu keynerner achaguliwe na nec IDADI YA VIFO VYA TEMBO IMEONGEZEKA
 
huyu jangili alidhani watanzania wa leo ni wale wa enzi ya kidumu chama cha majangili ahahaaaaa.....
watu wameamka bwana wanajua haki zao,wanajua uongo ni upi na ukweli ni upi.
kamaliza tembo na faru wote sasa anataka kurudia dili lake la kudanganya watu ili apate kuficha madhambi yake.inajulikana wazi kua wewe kama unataka kufanikiwa katika biashara haramu kua mwanasisiemu kwenye ngazi yoyote hata kama ni mjumbe wa nyumba kumi ..bangi utauza,unga utauza,piwa,ujangili,na madhambi yote yale.
jangili tu huyo wala asiwaumize kichwa sana
dawa yake ni peopleeeeee... jangili mkubwa.
 
Olee wake kwani ni siku tu tunahesabu,ni lazima meli yake isiziwe kwani amekiri kwa mdomo wake kwamba ni kweli ilibeba nyara za Taifa.Labda ndio sababu ana mawazo.
 
tembo wameisha ,vifaru wameisha mzee hajui afanye biashara gani,labda aanze na kusafirisha chatu
 
Kinana

1. Kwa meli yake kukamatwa na shehena ya meno ya tembo

2. Kwa kuwa sasa hivi visa vya kukuwa sana kashifa ya biashara ya meno ya Tembo

3. Uropokaji wa Nape na Mwigulu usiozingatia itifaki wala madaraka ndani ya chama

4. Kuyumba kwa ccm kwasababu kila kukicha ni afazari ya jana inavokumbana na upinzani na kukataliwa kila kona ya nchi

5. Ukimya wa Kikwete katika kufanya maamuzi magumu (waalimu, madaktari, mtwara na gesi, ufisadi, kuchomwa makanisa nk)


Kinana hana pa kuinua macho wala kupanua mdomo wake kwa aibu na sana au zaidi kuzomewa hana zaidi ila kufunga mdomo.

 
Mwizi wa meno ya ndovu, Jangiliiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii ni KINANAAAAAAAAAAAAAAAAAAAA
 

Attachments

  • ivory.jpg
    ivory.jpg
    6.4 KB · Views: 91
Tangu Kinana awe Katibu Mkuu wa CCM idadi ya shehena ya meno ya Tembo kukamatwa na Tembo wengine wengi kuuwawa imeongezeka.
Hii ianonyesha either Kinana anafanya hii biashara kwa manufaa ya chama au anatumia nafasi aliyonayo kujiinemesha.. no way unaweza kumtenganisha Kinana na biashara ya meno ya Temba..na wala hajaanza leo ila ameongeza kasi tu baada ya kukamatia usukani CCM.
 
mwisho umefika wanaanza polepole mkurugenzi wa mashtaka (dci) anakuja kinana pembe za ndovu zimemuacha uchi kinana anatesekaje..... meli yake mzigo c wake how?????
 
Pembe za ndovu ndo habari ya mjini


Ni kweli mkuu Daudi Mchambuzi mana zinalipa sana kuliki hela kiduchu ya Chama!! Unajua hakika hela ya pembe za ndovu, ngozi za twiga, tembo, pundamilia etc bado magogo!! Yaani ni fisadi hili. Mleta mada mkuu RevolutionaryTZ hukukosea ni lazima aoneshe kuchoka maana deal hana muda wa kufanya kwa kuwa anatakiwa awajibike kwa Chama!!! Ha ha labda manager wa miradi yake ya kifisadi kamkomesha!!
 
Back
Top Bottom