rosemarie
JF-Expert Member
- Mar 22, 2011
- 6,887
- 3,446
hii habari iwafikie wanaCHADEMA wote na uongozi wao ili wachukue hatua
kambi ya Nape akiwemo yule mzee aliyebadili dini siku za karibuni Membe na ikiwamo familiya ya Jakaya hasa mke wake wanaonekana kuweweseka sana kila wakisikia kambi ya Lowassa inachanja mbuga kuelekea ikulu
hii inaonyesha dhahiri Lowassa ndiya Rais hasa ukizingatia usemi usemao wenye pesa na uwezo hawapigi kelele
hizi kelele za kambi ya nape na huu ukimya wa kambi ya Lowassa ni ishara kwamba kambi ya Nape imezidiwa
Mchezo wa kambi ya Lowassa unachezwa kama ifuatavyo
wanaiogopa CHADEMA ndiyo tishio lao na siyo kambi ya Nape na mwenzake aliyabadili dini
Zitto Kabwe atakuwa karata ya muhimu kwenye mchezo huu,ataingia NCCR 2014 wakati mambo yameshjaanza kuivs,ns ile itakuwa ni suprise kwa CHADEMA
atagombea Uraisi kupitia NCCR sio kwa lengo la kushinda bali kugawa kura za CHADEMA
ushauri'
kamati mkuu mnakutana leo????
Zito kabwe aondolewe mapema ili kuziba mambo yatakayojitokeza kuzuia mgawanyiko wa kura kwa sasa hivi, CHADEMA mtakuwa na kazi kubwa mwaka huu,bora kuanza hiyo shughuli mapema