A Tanzanian Renaissance - Mwamko wa Kitanzania | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

A Tanzanian Renaissance - Mwamko wa Kitanzania

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Companero, Jun 22, 2009.

 1. Companero

  Companero Platinum Member

  #1
  Jun 22, 2009
  Joined: Jul 12, 2008
  Messages: 5,475
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Tanzania the time has come. A time of awakening. This is the time to think the unthinkable. A time to imagine the imaginable. The time to invent and reinvent, create and recreate, construct and reconstruct. It is the time of the Tanzanian Renaissance.

  Tanzania wakati ndio huu. Ni wakati wa mwamko. Huu ni wakati wa kufikiri kisichofikirika. Ndio wakati wa kuwaza kisichowazika. Ni wakati za kubuni na kubuni tena, kuumba na kuumba tena, kujenga na kujenga tena. Huu ni wakati wa Mwamko wa Kitanzania.

  But, we may ask ourselves, how can we do the undoable?

  Lakini, tunaweza kujiuliza, je tutafanyaje kile kisichofanyika?

  Yes we can - only if we believe change is part and parcel of who we are!

  Ndio tunaweza - kama tu tutaamini mabadiliko ni sehemu ya vile tulivyo!
   
 2. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #2
  Jun 22, 2009
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,409
  Trophy Points: 280
  Talk is cheap!
   
 3. Companero

  Companero Platinum Member

  #3
  Jun 22, 2009
  Joined: Jul 12, 2008
  Messages: 5,475
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Do you know the meaning of a Renaissance? Review what happened during the European Renaissance and compare it to what is happening now in Tanzania. The key comparative concepts are 'freedom of expression' and 'right to think' within the context of your 'pseudo-philosophy' of 'Thats How We Africans Are'!

  "You can't walk the talk if you can't think the talk" - CC
   
 4. Zakumi

  Zakumi JF-Expert Member

  #4
  Jun 22, 2009
  Joined: Sep 24, 2008
  Messages: 4,817
  Likes Received: 327
  Trophy Points: 180
  Companero:

  katika kipindi kile Europe walikuwa domant na walihamua kuamka. Kwa upande mwingine sisi sio domant. Sisi hatuna. Sasa sijuhi tutaanzia wapi?
   
 5. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #5
  Jun 22, 2009
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,409
  Trophy Points: 280
  You can talk all you want...yap about this and that...the bottomline is you can't back up your talk with action.

  Let me ask you something. Did Africa exist during the European Renaissance?
   
 6. Companero

  Companero Platinum Member

  #6
  Jun 22, 2009
  Joined: Jul 12, 2008
  Messages: 5,475
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Asante, umenipeleka moja kwa moja kwenye kiini cha mada yangu. Hatuko dormant. Tumeamka. Yaani fikra na ubunifu naokutana nao hapa Tz si wa kawaida. Naona mapambazuko yanakwenda kwa kasi ya ajabu. People are thinking deeply, debating profusely and inventing dramatically. The one phrase I can use to describe what I am seeing is 'Tanzanian Renaissance'!
   
 7. Companero

  Companero Platinum Member

  #7
  Jun 22, 2009
  Joined: Jul 12, 2008
  Messages: 5,475
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  How can you see action while you are far away - you can only read/hear the talk!

  Which Africa are you talking about -the continent, the people or the idea of it?
   
 8. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #8
  Jun 22, 2009
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,409
  Trophy Points: 280
  Africa and all that belongs to it....
   
 9. Companero

  Companero Platinum Member

  #9
  Jun 22, 2009
  Joined: Jul 12, 2008
  Messages: 5,475
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Kasome vitabu hivi vya Valentin Y. Mudimbe: 'The Idea of Africa' & 'The Invention of Africa' utapata jibu la swali lako.
   
 10. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #10
  Jun 22, 2009
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,409
  Trophy Points: 280
  Wewe unaona uvivu gani kunipa muhtasari wa vitabu hivyo...?

  Halafu kwa nini wewe kila kitu ni mivitabu...mivitabu tuuu? Aaaag ushaanza kuboa na mivitabu yako
   
 11. Bluray

  Bluray JF-Expert Member

  #11
  Jun 22, 2009
  Joined: Mar 25, 2008
  Messages: 3,446
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 135
  Huwezi kuwa na Renaissance ya kweli kwenye nchi yenye wasomaji magazeti serious regularly chini ya 3%, ambao nusu yao ni status quo isiyo na interest ya kubadili kitu, nusu ya nusu iliyobaki washajichokea wame adopt falsafa za Marijani Rajabu za "Kula ugali wako ukalale, hiyo robo iliyobakia nusu yake ni kina internet thug na armchair critic.

  Unabakiwa na an eighth, ambayo nayo kuna innuendos huko kwenye upinzani kichizi.

  Ukipiga mahesabu wapambanaji wa kweli ni a sixteenth of the population

  Wewe unafikiri kwa nini CCM hawataki kuwaelimisha watu?
   
 12. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #12
  Jun 22, 2009
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,409
  Trophy Points: 280
  Aaaah..ona huyu naye....yeye kaja na mambo ya kusoma magazeti.....mwenzako anasema mivitabu...
   
 13. Bluray

  Bluray JF-Expert Member

  #13
  Jun 22, 2009
  Joined: Mar 25, 2008
  Messages: 3,446
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 135
  Mivitabu unawaonea, kitabu kimoja cha sasa cha maana very easily kinaweza kuwa 10% ya GPD per capita ya mtanzania, tena vitabu vyenye utirio havichapishwi bongo.

  Ndiyo maana nasema magazeti, ambayo hata hayo hayasomwi. Au unatetea idiocracy?
   
 14. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #14
  Jun 22, 2009
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,409
  Trophy Points: 280
  Hapa sitetei idiocracy hata kidogo. Nachopinga ni ndoto za alinacha (pipedream?) za akina Companero
   
 15. Companero

  Companero Platinum Member

  #15
  Jun 22, 2009
  Joined: Jul 12, 2008
  Messages: 5,475
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Wandugu hebu niambieni watu wangapi walileta hiyo European Renaissance, wangapi walikuwa wanasoma magazeti kati ya hao - na wangapi walikuwa wanasoma Biblia na Mavitabu?
   
 16. MwanaFalsafa1

  MwanaFalsafa1 JF-Expert Member

  #16
  Jun 22, 2009
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 5,566
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 135
  Is this what Africa needs now? Samahani mkuu but your concepts or ideologies seem like zingewafaa wapigania uhuru wetu. Why look at what worked for others 200 years ago when we can look at what's working for them now? Hata kama wenzetu walipitia hizo stage it does not mean it will work for African's in the 21st century. So unless you tell us how it can practically be implimented for us now, all I have learnt from your threads is that Africa is centuries behind other countries. I hope you are open to constructive criticism.
   
 17. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #17
  Jun 22, 2009
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,409
  Trophy Points: 280
  This guy is stuck in the past. Anazungumzia mambo yalitokea mamia ya miaka yaliyopita. Shauri yenu...nyie msikilizeni tu....
   
 18. Companero

  Companero Platinum Member

  #18
  Jun 22, 2009
  Joined: Jul 12, 2008
  Messages: 5,475
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Nyani umeanza tena argumentum ad hominem zako badala ya kutoa hoja kuhusu mada husika.

  Leo nilikuwa Mnazi Mmoja kwenye Maonesho ya Utumishi wa Umma, nikashangaa kuona vitoto vya shule vinachukua makabrasha kibao magumu kwenye mabanda ya taasisi mbalimbali tena vilikuwa vinayasoma kwa kina basi nikakumbuka hii mada. Nilipopanda basi nikakuta vijana wadogo wasomi wanakata ishu ya utafiti uliofanywa kuonesha tofauti ya 'gravity consciousness' kati ya panya waliozaliwa mwezini na panya waliozaliwa duniani, nikaikumbuka tena hii mada. Guyz kaeni tu huko Ughaibuni na kutukandia wenzenu ila huku kuna mwamko mkubwa wa thinking and innovation!

  Amin Amin Nawaambia Kizazi Hiki Hakitapita Kabla ya Tanzania Englightenement Haijatokea!
   
 19. MwanaFalsafa1

  MwanaFalsafa1 JF-Expert Member

  #19
  Jun 22, 2009
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 5,566
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 135
  Ok mkuu but how is your idea going to be implimented and how will it work for us now? Vutabu vinaweza kukuacha in a fantasy usipo angalia because they portray everything so romantically especially if they are written by a good writer. Ni kama Karl Maxx. If you read his writings utasema socialism is the best way to go but socialism was just a utopia of his mind and in practicality it can hardly be implemented. He had the right idea but it was impractical. Ndiyo maana USSR the biggest communist country collapsed and even China now is slowly but surely entertaining the idea of a free market.
   
 20. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #20
  Jun 22, 2009
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,409
  Trophy Points: 280
  Hakuna ad hominem ...au kusema you are stuck in the past imekuwa ad hominem?
   
Loading...