Katika mambo ambayo serikali inafanya mzaha ni mambo ya kitaaluma.
Pamoja na suala la wanafunzi wa UDOM Kusema wanahali mbaya tangu wafungue chuo hakuna juhudi za kimakusudi zimechukuliwa.
Ni jambo la aibu mwanafunzi tangu afke chuoni hapo mwezi october Mpaka sasa hajapata fedha ya kujikimu wakati ni Loan beneficial.
Wanafunzi wamegeuka kuwa ombaomba huku wengne wakitumia mwili yao vibaya ili wapate Mkate.
Mwanafunzi ambaye haktaka jina lake kutajwa amesema safari watafia Bungeni. Amesema wataenda bungeni kushinikiza wabunge waweke hoja ya dharura juu ya Maudhi a haya. Hata hivyo wanafunzi hao wana CD Zinazoonyesha namna wanavyonyanyaswa na watu wa mikopo ngazi ya chuo wanapodai haki zao.
Kinachosikitisha ni kwamba wanafunzi hao toka mda mrefu walikuwa wanapata mikopo, iweje sasa waspewe?