Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Mgombea urais wa Tanzania kwa tiketi ya ACT Wazalendo, Luhaga Mpina alipowasili mjini Unguja kwa ajili ya utambulisho kwa wanachama na wananchi wa kisiwa hicho, akitokea jijini Dar es Salaam baada...
4 Reactions
20 Replies
1K Views
Jimbo la Mwibara ni miongoni mwa majimbo matatu ya Wilaya ya bunda. Wilaya ya Bunda ina majimbo matatu ambayo ni Bunda mji, Bunda vijijini na Mwibara.
2 Reactions
10 Replies
1K Views
Kinachoendelea sasa ni matumizi ya vyombo vya dola na rasilimali fedha kuhakikisha taratibu zote za uchaguzi zinakamilika ikiwemo wagombea kuchukua form, kuhakikisha maandalizo yote ya uchaguzi...
6 Reactions
26 Replies
1K Views
Wanawake wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) leo Jumamosi Agosti 9, 2025 wamekutana katika kongamano maalumu lililofanyika kwenye viwanja vya Tabata Shule, jimbo la Segerea mkoani Dar es...
1 Reactions
6 Replies
561 Views
Wakuu Akiwa anazungumza leo kwenye mahojiano aliyoyafanya wakiwa kwenye mkutano mkuu wa CHAUMMA, Lembrus Mchome amesema kuwa amejaribu sana kumshauri Heche lakini kiongozi huyo hashauriki
4 Reactions
42 Replies
3K Views
Rais wa Marekani Donald Trump amesema huenda akakutana na rais wa Urusi Vladimir Putin hivi karibuni kabisa. Rais wa Marekani Donald Trump alikuwa akijibu swali aliloulizwa na waandishi habari...
0 Reactions
2 Replies
412 Views
Tanzania itaandika historia nyingine kwa kuwa na Waziri Mkuu Mwanamke (2025-2035). Asante kamati kuu.. **Tunajivunia utaifa wetu
7 Reactions
75 Replies
4K Views
Ukiangalia nafasi za kazi serikalini, balozini, mgao wa pesa. Huu mkaba wa kijinga ni wa kuwachuna ndugu zao wa Tanganyika!
3 Reactions
7 Replies
407 Views
Stephen Wasira amesema Mitambo iko sawa, Agosti 29,2025 tutanza Kampeni rasmi na kwa muda wa siku 60 mitambo itaenda kila mahali Tanzania
5 Reactions
17 Replies
824 Views
Mgombea urais kupitia Chama cha ACT Wazalendo, Luhaga Mpina, ameapa kuendeleza mapambano dhidi ya ufisadi nchini, akisisitiza kuwa hatapumzika hadi Watanzania wote wanufaike na rasilimali za...
2 Reactions
6 Replies
1K Views
Leo nimepata majibu ya kwanin course yangu chuo iliitwa political science. Kumbe siasa si kuongea siasa ni kusimamia kile unachokiamini kikamilifu mengine yatajifuta yenyewe bila shinikizo. Leo...
8 Reactions
67 Replies
2K Views
Dr Nchimbi ni sawa na Mkapa anaamini kwenye Uchapakazi na siyo uchawa Hii ilikuwa Falsafa ya Lowassa pia Atakuwa makamu wa Rais mzuri
0 Reactions
16 Replies
774 Views
Atashindwa vibaya mno kwenye uchaguzi, ndiyo kwenye uchaguzi. Rais ajaye katulia tu.
10 Reactions
39 Replies
2K Views
Angalia kulia na kushoto mwa Mh Rais wote ni maafisa vipenyo najiuliza wapi tunafeli?
2 Reactions
25 Replies
2K Views
Unadhani watu bado mambumbu? Acha maigizo ya kisiasa ================== Mgombea urais kupitia Chama cha ACT Wazalendo, Luhaga Mpina, ameapa kuendeleza mapambano dhidi ya ufisadi nchini...
2 Reactions
12 Replies
684 Views
Hakika Tume ni HURU kweli kweli. Kanuni za Maadili ya Uchaguzi zinasainiwa peupe. Tunajivunia. Tukutane site Oktoba 2025.
2 Reactions
15 Replies
865 Views
Nauliza hivi kweli Rais anauzunika ANALIA wananchi mnaruka ruka mna adabu nyie kweli? Nafahamu Pascally Mayalla na Proffesa Mussa Assad mnafurah ila ndo mkodi mziki? Naomba mwekwe ndani mpaka...
5 Reactions
29 Replies
2K Views
Kama kuna mtu anamashaka, basi Samia anamuhakikishia yeye ndiye Rais wa JMT. https://vm.tiktok.com/ZMA1uXWfh/
0 Reactions
8 Replies
403 Views
Hivi kweli mtu kama Luhaga Mpina wa Usukumani anaweza kununuliwa na Vyombo? 🐼 Halafu Polepole aelewe Mahakama ni muhimili unaojitegemea Kazi kweli kweli
13 Reactions
110 Replies
7K Views
Back
Top Bottom