"Natural Justice" yawabeba Mnyika,Lissu na Nassari

Salary Slip

Platinum Member
Joined
Apr 3, 2012
Posts
52,789
Reaction score
165,485
Mh.Haasani Ngwilizi, mchana huu amewasilisha bungeni ripoti yake ya uchunguzi kuhusu vurugu zilizotokea bungeni wakati mh.Mnyika alipowasilisha hoja yake.Ripoti hiyo imewatia hatiani mh.Mnyika,Nassari na mh.Tundu Lissu.Ripoti hiyo pia inaonyesha waheshimiwa hao walikiuka kanuni na hivyo walifanya vitendo vya utovu wa nidhamu.Ripoti hiyo imeonyesha kuwa kiti kilitenda haki na hata mh.Waziri wa maji hakukiuka kanuni juu muda alioutumia katika kuchangia hoja ya mh.Mnyika kama alivyodai mh.Tundu Lissu.Mh.Tundu Lissu alidai kuwa, kwa mujibu wa kanuni, mh.waziri wa maji hakupaswa kutumia muda wa dakika 30 katika kuchangia hoja ile kitu ambacho kamati ya Ngwilizi imedai kuwa kilikuwa ni sahihi.

Hata hivyo,mh.Spika amesema kuwa wahusika hawataweza kuchukuliwa hatua yoyote ya kinidhamu kwa sasa kwasababu kamati ya mh.Ngwilizi haikuwahoji wahusika kupata maelezo yao.Mh spika alidai kamati hiyo ilishindwa kuwahoji na hivyo mpaka watakapohojiwa ndio adhabu itatolewa kwa wahusika.

Swali,je ni kweli kamati ya mh.Ngwilizi ilishindwa kuwahoji au wanajua wangeumbuka?

Inawezekana hatua ya katibu mkuu wa CHADEMA,mh.Dr.Slaa, kuwataka wabunge hao wasikubali kuhojiwa ndio sababu?Mbona hakutaja sababu hiyo?

Kulikuwa na umuhimu gani wa kuisoma ripoti hiyo bungeni huku ikiwa haijakamilika?

Tafakari!
 
Mh.Haasani Ngwilizi, mchana huu amewasilisha bungeni ripoti yake ya uchunguzi kuhusu vurugu zilizotokea bungeni wakati mh.Mnyika alipowasilisha hoja yake.Ripoti hiyo imewatia hatiani mh.Mnyika,Nassari na mh.Tundu Lissu.Ripoti hiyo pia inaonyesha waheshimiwa hao walikiuka kanuni na hivyo walifanya vitendo vya utovu wa nidhamu.Ripoti hiyo imeonyesha kuwa kiti kilitenda haki na hata mh.Waziri wa maji hakukiuka kanuni yoyote alipochangia hoja ya mh.Mnyika kama alivyodai mh.Tundu Lissu.

Hata hivyo,mh.Spika amesema kuwa wahusika hawataweza kuchukuliwa hatua yoyote ya kinidhamu kwa sasa kwasababu kamati ya mh.Ngwilizi haikuwahoji wahusika kupata maelezo yao.Mh spika alidai kamati hiyo ilishindwa kuwahoji na hivyo mpaka watakapohojiwa ndio adhabu itatolewa kwa wahusika.

Swali,je ni kweli kamati ya mh.Ngwilizi ilishindwa kuwahoji au wanajua wangeumbuka?

Kulikuwa na umuhimu gani wa kuisoma ripoti hiyo bungeni huku ikiwa haijakamilika?

Tafakari!

sasa walihukumuje bila kuwahoji watuhumiwa?
 
CCM kazi yake kubwa ni kushindana na CDM,hakuna lingine wanalofanya.
 
Hawa ni Miamba wa Chadema Tutawapokea Dar kwa kishindo kikuu.
 
Mh.Haasani Ngwilizi, mchana huu amewasilisha bungeni ripoti yake ya uchunguzi kuhusu vurugu zilizotokea bungeni wakati mh.Mnyika alipowasilisha hoja yake.Ripoti hiyo imewatia hatiani mh.Mnyika,Nassari na mh.Tundu Lissu.Ripoti hiyo pia inaonyesha waheshimiwa hao walikiuka kanuni na hivyo walifanya vitendo vya utovu wa nidhamu.Ripoti hiyo imeonyesha kuwa kiti kilitenda haki na hata mh.Waziri wa maji hakukiuka kanuni yoyote alipochangia hoja ya mh.Mnyika kama alivyodai mh.Tundu Lissu.

Hata hivyo,mh.Spika amesema kuwa wahusika hawataweza kuchukuliwa hatua yoyote ya kinidhamu kwa sasa kwasababu kamati ya mh.Ngwilizi haikuwahoji wahusika kupata maelezo yao.Mh spika alidai kamati hiyo ilishindwa kuwahoji na hivyo mpaka watakapohojiwa ndio adhabu itatolewa kwa wahusika.

Swali,je ni kweli kamati ya mh.Ngwilizi ilishindwa kuwahoji au wanajua wangeumbuka?

Kulikuwa na umuhimu gani wa kuisoma ripoti hiyo bungeni huku ikiwa haijakamilika?

Tafakari!

Kamati yenyewe imeshindwa kutenda haki kwa ku"absolve" kiti cha spika wakati kila mtu aliyetazama TV aliona jinsi gani spika au naibu spika walivyovunja kanuni. Utaratibu huu wa 'to make the guilty innocent and the innocent guilty' utatuletea matatizo Tanzania.
 
Duh!!!

Daima mwenye akili ndogo kuongoza mwenye akili kubwa ni taaabu kweli kweli! Hivi kulikuwa na haraka gani ya kusoma hiyo taarifa wakati kamati haijafanya kazi??? Nilicho kuwa nafahamu ni kwamba, kulikuwa na tuhuma za uvunjwaji wa taratibu za bunge, kazi kubwa ilikuwa ni kuhoji watuhumiwa. Sasa iweje kamati ilishindwa kuhoji watuhumiwa, halafu itoke na majibu kwamba watuhumiwa walikuwa na makosa!!!!???

LIKE FATHER LIKE SONS!!!!
 
Mh.Haasani Ngwilizi, mchana huu amewasilisha bungeni ripoti yake ya uchunguzi kuhusu vurugu zilizotokea bungeni wakati mh.Mnyika alipowasilisha hoja yake.Ripoti hiyo imewatia hatiani mh.Mnyika,Nassari na mh.Tundu Lissu.Ripoti hiyo pia inaonyesha waheshimiwa hao walikiuka kanuni na hivyo walifanya vitendo vya utovu wa nidhamu.Ripoti hiyo imeonyesha kuwa kiti kilitenda haki na hata mh.Waziri wa maji hakukiuka kanuni yoyote alipochangia hoja ya mh.Mnyika kama alivyodai mh.Tundu Lissu.

Hata hivyo,mh.Spika amesema kuwa wahusika hawataweza kuchukuliwa hatua yoyote ya kinidhamu kwa sasa kwasababu kamati ya mh.Ngwilizi haikuwahoji wahusika kupata maelezo yao.Mh spika alidai kamati hiyo ilishindwa kuwahoji na hivyo mpaka watakapohojiwa ndio adhabu itatolewa kwa wahusika.

Swali,je ni kweli kamati ya mh.Ngwilizi ilishindwa kuwahoji au wanajua wangeumbuka?

Kulikuwa na umuhimu gani wa kuisoma ripoti hiyo bungeni huku ikiwa haijakamilika?

Tafakari!

.
Hili bunge ni mufilisi kabisa na kwa sababu watanzania wa leo sii wale wa 47 tunaelewa hii ngoma inayochezwa na magamba. Sasa hivi inabidi tutangaze rasmi kuwa bunge ni adui wa raia NO 1 likifuatiwa na polisi.
Bunge llimajeuzwa rasmi kuwa kibaraka wa serikali tofauti na wajibu wake kikatiba kuisimamia serikali. Hivyo ukizingatia pia kuwa ni taasisi inayohudumiwa na pesa nyingi za walipa kodi kuliko nyingine, hatuwahitaji kwa sasa.
Napendekeza bunge livunjwe ili kuwezeshwa kuundwa kwa chombo kingine cha kuisimamia serikali.
.
 
Sio dar tu,nilazima wazunguke na m4c.me nilikua namsubili bibi k achukue maamuzi magumu ili tumzingue
 
Ngwilizi 100 ndio nusu ya ufahamu wa T.Lissu,jeuri ya kuwahoji wanaitoa wapi?
 
Kwanini hawakuhoji? unamhukumu mtu kabla hujamskiliza?

Nani mwenye list ya hiyo kamati ya Ngwilizi?
 
Mbona wametoa report bila kuwahoji wahusika? Otherwise, wangetwambia kama hao wahusika wamekataa kuhojiwa. Waongo huwa wanasubiri upepo upite kama kawaida yao!!!!
 
Kamati yenyewe inaundwa na wana ccm unategemea nini?

Hawawezi kuwahoji mpaka washughulikie zile rufaa zote juu ya maamuzi ya spika!

Hakuna kipya hapo ni uonevu tu wa spika sikutegemea kipya zadi ya hicho!

Hivi Salary Slip hivi matuzmizi ya neno "ya wabeba " imekaa vipi hapa?
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom