Meck Sadick: Maji Dar, watakaoandamana wanapoteza muda wao

Meck Sadick: Maji Dar, watakaoandamana wanapoteza muda wao

BONGOLALA

JF-Expert Member
Joined
Sep 14, 2009
Posts
16,511
Reaction score
11,917
Leo katembelea mitambo ya kuchuja maji na kutoa tamko hilo.

Naona katumwa na waziri kuwawahi wana Ubungo
 
Viongozi wetu Ni kama wendawazimu wote. Huyu naye kaibukia wapi, anashidwa hata kuzibiti wezi wa vipuri vya magari anaenda kuibukia kwenye maji!! Kweli hawa Viongozi wetu kazi tunayo. Tanzania Ni nchi ya maajabu sana
 
Hana jipya, watu hawana maji hii wiki ya pili sasa na tupo city centre yeye anabwabwaja tu!
 
Nimemsikia kupitia ch.ten akisema hata wakiandamana hiyo tar.16 maji haytatoka tar.17 dar. Hawa viongozi wa serikali hii wangekua china walisha..ny..on.gwa siku nyingi.
 
Leo katembelea mitambo ya kuchuja maji na kutoa tamko hilo.Naona katumwa na waziri kuwawahi wana Ubungo

Siyo kwamba Waziri aliwaahidi watu wa Ubungo kupata maji. Mbona anapingiana na ahadi za waziri? Nilifikiri watu wa Ubungo wanafuatilia ahadi ya waziri?
 
sawa tutandamana tarehe 16, maji yasipotoka tarehe 17, hasira zetu zitakuwa zimemfikia mlengwa, tuandamane wote tusiopata maji, beba ndoo au karai
 
Hivi vyeo vya kupeana hopeful vitafutwa kwenye katiba mpya..
 
Najiuliza,wanapoteza muda gani huku hawana ajira?bora waandamane
 
Wengine hata hapo mabomba hakuna. Maji ni ya kununua kwa kwenda mbele from January to December. Miaka hamsini yangu Uluru jiji Kama hili kuna shida ya maji! Shame on you leaders of this country.
 
Wamelewa madaraka hawa viongozi haya majibu sio ya kiongozi anayewajali watu wake....shame on you Mecky Sadick
 
Huku goba magamba walikuja kufanya mkutano wakiwa na hili li mkuu la mkoa tena lilivaa jezi ya ma-ccm huku likiwa kwenye vx ya serikali,alikuwepo na nape jitu patel na wengne wengi,ilikuwa jumapili wakasema maji yatatoka jtano now ni wk ya pili hakuna kitu huku hivyo walitudanganya siyo?
 
Haa! mkuu wa mkoa ambaye kuvaa tai kwake mwiko... ndio kasema hivi, kwel nimeamin mzee mmoja aliniambiaga kuwa mkoa huu aliweza makamba na kandoro tu huyu wa sasa ni msabiki sana wa mambo ya kipuuzi...
 
hapo ingekuwa waislamu wanaandamana hapa ungesikia wapigwe sijui na vitu vya ncha kali, au wahuni hao ila kwa kuwa yameratibiwa na chama cha kanisa basi wataandamana tu, ila wala hamtusumbui dola ya kiislamu itasimama tu
 
hapo ingekuwa waislamu wanaandamana hapa ungesikia wapigwe sijui na vitu vya ncha kali, au wahuni hao ila kwa kuwa yameratibiwa na chama cha kanisa basi wataandamana tu, ila wala hamtusumbui dola ya kiislamu itasimama tu

ni_mtazamo_tu
 
Wanaongoza ki comedy comedy,yamefikia wapi maagizo ya waziri wa maji kwa watendaji wa dawasco ? Hii inafanana na comedy ya kawamba aliyoisema leo eti oh tume walishaiandaa siku nyingi kujadili elimu tanzania,folish kabisa mnatufanya watanzania mabwrge sio? Oneni aibu kudanganya watu ambao kodi zao ndio zinawafanya muwe na kiburi
 
Back
Top Bottom