PRESUMPTION OF INNOCENCE na mijadala yetu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

PRESUMPTION OF INNOCENCE na mijadala yetu

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Game Theory, May 5, 2009.

 1. G

  Game Theory JF-Expert Member

  #1
  May 5, 2009
  Joined: Sep 5, 2006
  Messages: 8,571
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 0
  [​IMG]


  Surely humu kutakuwa na wasomi kuliko DARHOTWIRE na forums zingine...hivi kwa nini tumekuwa tukilignore hili au ndio tumejikita kwenye mambo ya anti intellectualism,plitics of hate & narrow mindedness?

  hivi humu ndani hatuna watu wa kuangalia haya maendeleo ya MENGI vs EVERYONE from the legal point of view?

  whatever happened to presumption of innocence? hivi mahakama gani imemhukumu Rostam na aliotakwa nao au ndio ushabiki tuu?

  this is so low by standards za JF so sad
   
  Last edited: May 8, 2009
 2. Mpendanchi-2

  Mpendanchi-2 JF-Expert Member

  #2
  May 5, 2009
  Joined: Apr 4, 2009
  Messages: 305
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  It is low according to your poor thinking capacity like abacus calculator !!

  If you can't think and use your common sense, that MSEMAKWELI SIKU ZOTE ATACHUKIWA na WENGI !! then you are better than nothing!!
   
 3. G

  Game Theory JF-Expert Member

  #3
  May 5, 2009
  Joined: Sep 5, 2006
  Messages: 8,571
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 0
  Makubwa haya
   
 4. Nduka

  Nduka JF-Expert Member

  #4
  May 5, 2009
  Joined: Dec 3, 2008
  Messages: 8,479
  Likes Received: 761
  Trophy Points: 280
  Mengi vs rostam + jf = unazi
   
 5. MwanaHabari

  MwanaHabari JF-Expert Member

  #5
  May 5, 2009
  Joined: Nov 9, 2006
  Messages: 444
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  This is a discussion forum where people are free to Air their opinions and facts, it is not a court of law...your argument about presumption of innocence is irrelevant here in JF, however..it is still welcomed here
  and as for the fact that Rostam hasnt been charged, simple...the President is protecting him.
   
 6. G

  Game Theory JF-Expert Member

  #6
  May 5, 2009
  Joined: Sep 5, 2006
  Messages: 8,571
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 0
  Duh!

  ebwana eeeh....
   
 7. S

  Son of Alaska JF-Expert Member

  #7
  May 5, 2009
  Joined: Jun 2, 2008
  Messages: 2,813
  Likes Received: 102
  Trophy Points: 0
  the fact of the matter,only a court of law can persume one guilty,the reality we tanzanians have gone so low,that we just need scapegoats to postpone doomsday in the process we dandia kwa mbele any politico/economy rivalry to satisfy our allready thrashed ego's. HOW we get out of this vicious trend is anybody's guess but one thing is certain, WHEN ELEPHANTS FIGHT ITS THE GRASS(sisi wananchi)WHICH GETS THRASHED.
   
 8. F

  Felister JF-Expert Member

  #8
  May 5, 2009
  Joined: Aug 5, 2008
  Messages: 377
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  The case is brought to the civil court; Is that bad and illegal? whats ur opinion
   
 9. WomanOfSubstance

  WomanOfSubstance JF-Expert Member

  #9
  May 5, 2009
  Joined: May 30, 2008
  Messages: 5,465
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 0
  To common mwananchi UFISADI is strict liability..............." all fisadis are guilty until proven innocent"
   
 10. Ndahani

  Ndahani JF-Expert Member

  #10
  May 5, 2009
  Joined: Jun 3, 2008
  Messages: 14,323
  Likes Received: 1,788
  Trophy Points: 280
  I don't think airing out views is a low standard. Hao wasomi unaowaongelea wamechoka kuona hatusogei mbele kama Taifa badala yake ni individuals wachache wenye uchu wa mali kwa vigezo vyisivyo halali tu ndo wanatamba kila kona ya nchi yetu. Na kibaya zaidi, wanafanya hujuma kubwa kubwa halafu wanapenda kila wanapopita tuwe tunawanyenyekea na kuwaita waheshimiwa kama sio kuwafanya wafanane na miungu yetu. Tutaliharibu bure hili Taifa letu zuri. Tufike sehemu sasa tuanze kuangalia mustakabali wa nchi yetu badala ya kujikita kuwatetea wachache ambao hawana nia nyingine yoyote isipokuwa kujilimbikizia mali bila kufuata njia halali.
   
 11. H

  Hofstede JF-Expert Member

  #11
  May 5, 2009
  Joined: Jul 15, 2007
  Messages: 3,584
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 0
  It is practically possible iff (if and only if), one is charged at the Court of law, if one is protected will always be guilty, unless the protection is removed. So far your boss is heavily protected by the State house that's why he remains to be guilty.
   
 12. Nduka

  Nduka JF-Expert Member

  #12
  May 5, 2009
  Joined: Dec 3, 2008
  Messages: 8,479
  Likes Received: 761
  Trophy Points: 280
  WOS kila mmoja wetu angependa iwe hivyo lakini facts on ground zipo tofauti kabisa. Nitakupa mifano michache tu tena kwa kutaja majina ili ujue common mwananchi anamtazamo gani kuhusu ufisadi-:
  1. Lowassa- baada kujiuzuru kwa tuhuma za ufisadi ambazo kuna kila ushahidi ni za kweli wananchi wa kawaida walimopokea kama shujaa tena kwa furaha kubwa jimboni kwake.
  2. Mheshimiwa Chenge same story
  3. Rostam Aziz baada kutuhumiwa hadharani na Bw Mengi UVCCM tabora wakaja juu- Tena kama huamini mpeleke Mengi leo Igunga afanye mkutano wa hadhara pale stendi nakuhakikishia wananchi wa kawaida watampiga mawe kwa kipigo cha mwizi.
  Hao ndio common citizen ambao hiyo hoja yenu ya ufisadi hawezi kuikubali kwani inatofauti sana na maisha yao ya kila siku. Wananchi wanataka maendeleo sio porojo. Kama ukiwauliza wakazi wa Arusha iwapo fedha za EPA zirudishwe benki kuu au apewe Njake watachagua apewe Njake kwani ndiye anayewasidia kwa ajira na maendeleo mfano barabara n.k
  Nipo tayari kwa makombora kuwa nafadhiliwa na Mafisadi ila habari ndio hiyo!
   
 13. S

  Son of Alaska JF-Expert Member

  #13
  May 5, 2009
  Joined: Jun 2, 2008
  Messages: 2,813
  Likes Received: 102
  Trophy Points: 0
  unasahau kwamba in most scenario's the common mwananchi ni debe tupu,its the ruling clique that run the show
   
 14. WomanOfSubstance

  WomanOfSubstance JF-Expert Member

  #14
  May 5, 2009
  Joined: May 30, 2008
  Messages: 5,465
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 0
  Presumption of innocence arises because in every case, the defendant either committed the offense or they did not. Modern practices aimed at curing social ills may run against presumption of innocence. Mark you..mara nyingi principles za sheria huwapatia advantage watu wenye mienendo isiyotakikana katika jamii mradi wana uwezo kifedha au kisiasa. Ndiyo maana haki hupotea kwa sababu ya technicalities au huchelewa just because kuna mabishano yasiyo na tija juu ya hizo hizo principles.

  Huenda its time basi Ufisadi ukawa moja ya kesi zenye strict liability - wananchi wamechoka kuona keki ya taifa ikiliwa kilafi na wachache.
   
 15. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #15
  May 5, 2009
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,597
  Likes Received: 82,153
  Trophy Points: 280
  When it comes to fisadis, that is always true. Thank you WoS
   
 16. WomanOfSubstance

  WomanOfSubstance JF-Expert Member

  #16
  May 5, 2009
  Joined: May 30, 2008
  Messages: 5,465
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 0
  U R VERY RIGHT!
  you know what Burn?
  poor and hungry mwananchi can easily be bought and manipulated.It explains why for instance many feel that intervening on EPA wasn't such a good idea after all.They complain that the fisadis were creating opportunities - employment, trade,etc.They dont look at the bigger picture..don't think beyond the nose...they only look at immediate benefits - survival for today.Its a pity though!
   
  Last edited: May 6, 2009
 17. C

  Chuma JF-Expert Member

  #17
  May 5, 2009
  Joined: Dec 25, 2006
  Messages: 1,330
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Mmhh....huku tunapokwenda sijui itakuwaje...for ur comments+WOS...kama Mengi nae katuhumiwa ufisadi....nae fisadi ?until.....

  Leo hii hapa JF ukichangia otherwise ya mtu mwingine utaambiwa upo ktk payrol...ktk lugha za Logic pia nawe unaetetea the opposite pia utakuwa upo kt Payrol...

  Kwa mtu huru ambaye huwa anaishia kusoma maandiko hapa JF au ktk sources za magazeti unaweza pata shida kujua who is who...!! Walo ktk front ya hii vita watapenda kupata makundi ya kuwasupport....!!!

  To me...naona tunapoteza mwelekeo kuingia ktk Makundi ya CCM....the best if we can ni kuondoa UTAWALA uliopo.
   
 18. Msanii

  Msanii JF-Expert Member

  #18
  May 5, 2009
  Joined: Jul 4, 2007
  Messages: 6,427
  Likes Received: 370
  Trophy Points: 180
  ebana eeh!
  lakini ndivyo ilivyo - period
   
 19. G

  Game Theory JF-Expert Member

  #19
  May 5, 2009
  Joined: Sep 5, 2006
  Messages: 8,571
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 0
  No wonder CCM wanaendelea kutawala maan alternative minds zilizopo ziko hot headed na hakuna anayekubali different opinion

  inasikitisha sana
   
 20. Masaki

  Masaki JF-Expert Member

  #20
  May 5, 2009
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 3,465
  Likes Received: 163
  Trophy Points: 160
  Serikali iko wapi? Watu wanalumbana na kuumbuana hadharani, mwisho watatoa na siri nzito za ndani ya nyumba zao...Subirini mtaona!
   
Loading...