Matukio haya yanaashiria mwanzo mpya wa Taifa letu

kwitega

Senior Member
Apr 10, 2012
166
49
1. kuuawa kwa baadhi ya watanzania wakitimiza haki yao ya msingi ya kuandamana.
2. Kuumizwa na kuuawa kwa waandishi wa habari.
3. Migogoro ya kidini ambayo kwa kiasi kikubwa imelelewa na watawala na chama kilichoko madarakani.
4. Kushindwa kwa vyombo vya ulinzi na usalama kutenda kwa haki na kwa weledi badala yake kutumika kuhujumu demokrasia na sauti zinazodai haki.
5. Kuporwa kwa raslimali za Taifa mchana kweupee, huku vyombo vya dora vikiwepo.
6. Kukithiri kwa rushwa na ufisadi serikalini.
7. Hujuma dhidi ya vyama vya upinzani vinavyoonekana kuwa tishio kwa watawala lakini vyenye kutia matumaini kwa wanyonge na maskini.
8. Tatizo kubwa la ajira hususani kwa vijana.
9. Kushuka kwa elimu ya Tanzania.

Kwa mtazamo wangu; haya na mengine ni chachu kubwa ya kuzaliwa kwa Tanzania ambayo wanyonge na maskini wanaitaka.
 
Tushirikiane wewe na mimi kupigania na kuitafuta TANZANIA MPYA. Hayo yawe chachu!
 
nchi kwa maana gani viumbe hai wote wafe mungu aumbe wengine .au akili yako ndogo inadhani chadema watakuwa parfect .manispaa zote wanafukuzana harafu we unasema nchi mpya.
 
Sio kuzaliwa kwa Tanzania bali kuzaliwa kwa Tanganyika na Zanzibar kwa mara ya pili ambazo wanyonge na maskini wanazitaka. Maana kuna watu Muungano ulishavunjika siku nyingi mioyoni ila wanalazimishwa tu kuitwa waTanzania na pia hata kwa vitendo wanathibitisha kuwa hakuna muungano.
 
nchi kwa maana gani viumbe hai wote wafe mungu aumbe wengine .au akili yako ndogo inadhani chadema watakuwa parfect .manispaa zote wanafukuzana harafu we unasema nchi mpya.

Mleta mada hajataja chadema mahali popote! Mbona vijana wa Nape mnajidhalilisha namna hii!? Pyuuuuuuuuuuuuuf!!
 
nchi kwa maana gani viumbe hai wote wafe mungu aumbe wengine .au akili yako ndogo inadhani chadema watakuwa parfect .manispaa zote wanafukuzana harafu we unasema nchi mpya.

Mr mkkwapua hivi matukio yote hayo unataka kusema yamefanywa na CDM? Kweli ile dhamana waliyokupa ilikuwa na masharti ya ajabu namna hii kutetea -----? Hapo kwenye bold rudi chuo bado gumashi wewe.
 
VIONGOZI NA WANACHAMA WA CHADEMA: Endeleeni kuwa focused na M4C pamoja na mikakati ya kuzindua Kanda ambazo hazijazinduliwa, kufungua matawi kila kijiji na mashina kila kitongoji. Ukombozi wa nchi hii unahitaji huo mkakati sasa na kwa nguvu na wepesi zaidi kuliko muda mwingine wowote. Matukio haya ya njama za serikali ya ccm yanawaongezea sababu za msingi za kuwaelezea Watanzania kuwa saa ya ukombozi wao ni sasa! Jitieni nguvu!
 
Back
Top Bottom