Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Wakuu! Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, na Mwenza wa Urais wa chama hicho, Emmanuel Nchimbi, akizungumza na Wanahabari leo Agosti 11, 2025 katika ofisi ndogo ya Makao Makuu ya CCM...
13 Reactions
140 Replies
7K Views
Wakuu hii imekaaje. Mbona tunaingiza mpira kwenye siasa?
3 Reactions
60 Replies
3K Views
Hii nchi ya mitandao na Watanzania pamoja na kwamba wapo slow wamesha anza kugawanyika hasa vijana. Haitakuwa rahisi kama mnavyofikiria na tatizo sio chadema bali watanzania wamenadilika...
5 Reactions
6 Replies
647 Views
Leo Agosti 14, 2025 Mgombea Urais wa Tanzania wa ACT Wazalendo Ndg Luhaga Mpina na Mgombea Mwenza, Ndg Fatma Fereji watazungumza na Wahariri wa Vyombo vya Habari. Mahala Jengo la Maalim Seif...
0 Reactions
1 Replies
541 Views
Ndugu zangu Watanzania. Mmeona, mmeona wenyewe. Chama kile alichokiasisi Nyerere, kinaandaa karamu ya wenye fedha, kuiweka mbele, kila mmoja anapigana vikumbo kukaa mwza kuu ili Kumtafuna mama...
16 Reactions
23 Replies
2K Views
Hello! Mimi sina chama, wala siwezi kumshabikia mwanadamu anayekufa na kuoza ingawa kwa baadhi ya circumstances huwa nakuwa upande wa mtu fulani au kundi fulani. Mfano, Kwenye issue ya huyu...
3 Reactions
27 Replies
1K Views
Wanajamvi ikiwa ni muendelezo wa tuhuma na malalamiko dhidi ya kampuni ya GSM ambayo wamiliki wake wanaonekana kuwa na ukaribu na mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam. Kuna clip ya video iliyorekodiwa...
9 Reactions
150 Replies
35K Views
Wanajukwaa, Naomba mwenye kuifahamu kampuni hii atujuze. Nasikia ina ushawishi mkubwa katika duru za kisiasa na kwa baadhi ya wanasiasa. Mwenye kujua atujuze tafadhali.
3 Reactions
129 Replies
69K Views
Hawa jamaa ndio Home Shopping Centre. Ambayo ni kampuni iliyopigiwa kelele sana katika ukwapuaji wa fedha bandarini na katika sehemu mbalimbali... Leo hii wamekuja na jina la GSM. GSM kwa sasa na...
17 Reactions
154 Replies
22K Views
Kabla ya mfumo wa vyama vingi nchini CCM ilikuwa specifically kwa ajili ya wakulima na Wafanyakazi na kukawa na Jumuiya kabisa JUWATA na USHIRIKA Baada ya kuingia mfumo wa vyama vingi Wafanyakazi...
0 Reactions
1 Replies
253 Views
Wapo waliotishiwa kuwa usipochangia tutafuatilia ulipaji kodi wa biashara yako! Hili jambo linahuzunisha kuona kwamba watu wanaoichangia CCM ni wafanyabiashara wakubwa wenye hofu ya kubanwa kwenye...
1 Reactions
8 Replies
483 Views
Nimeumia sana, imenichukua masaa kadhaa kusema chochote baada ya uamuzi huu mgumu wa waliokuwa viongozi wakuu wa Chama changu Chadema Naibu Katibu Mkuu Bara Mh Kigaila, Naibu Katibu Mkuu Zanzibar...
28 Reactions
300 Replies
13K Views
Wakati sina shida kabisa na CCM kufanya fundraising, napata changamoto kuelewa Mamlaka za nchi zimefikiria nini kuruhusu hili kutokea. Kwanini akaunti za Ikulu zitumike kwenye shughuli za...
0 Reactions
9 Replies
554 Views
Nimeona askari wakiwa na mitutu kwenye maeneo ya kanisa la KKKT hapa Mwanza, nimeshtuka sana kwamba watumishi wa umma wametoka na mfumo wa serikali ofisini na sasa wanataka waendeshe na makanisa...
4 Reactions
44 Replies
4K Views
Tangu CAG aanze kusoma report hakuna ripoti iliyoonyosha matumizi ya fedha na mali za serikali kuwa 100/100 , namaanisha hakuna ripoti iliyoonyosha matumizi ya fedha za umma au mali za umma kwenda...
0 Reactions
2 Replies
450 Views
Watanzania tunapaswa kutumia kampeni hizi kuuliza maswali ya msingi kwa viongozi wanaotaka kutuongoza kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM). Tunahitaji majibu ya kweli, siyo ahadi za maneno matupu...
1 Reactions
3 Replies
502 Views
Naona zama za kupita kwenye bonde la mauti zimekaribia. Waliokabidhiwa taa kutuvusha hawana macho tena na kadri wanavyopambana kuweka mambo sawa ndivyo wanavyozidi kuharibu. Nahisi imeandikwa na...
5 Reactions
14 Replies
1K Views
Wanaukumbi. No Reforms, No Election imekufa, rasmi leo tarehe 12 August 2025 baada harambee ya CCM. Ikiangalia watu kutoka maeneo mbalimbali wanavyomchangia Rais Samia kwa ajili ya kampeni...
5 Reactions
60 Replies
3K Views
Watanzania. Watanzania. Watanzania.🇹🇿. Hawa jamaa hata aibu hawana. Sasa wanawaibia watanzania bila aibu kabisa. Ni Mungu tu ndiyo anajua atawachoma Moto wa aina Gani. Tazama,wametumia Kodi za...
1 Reactions
6 Replies
371 Views
Mwenyekiti wa CCM Taifa na Rais wa Jamuhuri wa Muungano wa Tanzania amechangia kiasi cha shilingi milioni 100 za Kitanzania usiku wa CCM gala dinner 2025 katika harambee ya kuchangia bilion 100...
1 Reactions
35 Replies
2K Views
Back
Top Bottom