(Mods naomba msiunganishe thread yangu na za bwana LUKOSI).
Sina tatizo na uwepo wa maandamano kwa kesho japo jeshi la polisi limejipa kazi ya "KUTOA KIBALI".
Kuhudhuria maandamano kesho kwa...
Mwezi uliopita nilitembelea maeneo ya Lushoto na kupanda vilima nikafika maeneo ya Shume na Soni,niliwauliza wananchi ni chama gani kina nguvu wakaniambia nisubiri 2015 kuiona CHADEMA ikulu.
Sina...
Huku Jeshi la polisi nchini likiamua kutumika vibaya na Chama cha Mapinduzi na Serikali yake kwa kupiga marufuku maandamano kwenye mikoa yote yalikopangwa kufanyika, Chama Cha Demokrasia na...
Polisi wanatumia nafasi ya kuwepo ugeni wa rais wa China Xi Ping kukataza maandamano ya wananchi kumshinikiza waziri wa elimu Shukuru Kawambwa kujiuzulu. Nayaita maandamano ya wananchi kwa kuwa...
tetesi machafuko/vurugu kubwa kutokea‘'mjimpyamtarajiwa'' ferry kigamboni ni baada ya kuwepo kwa taarifa zisizo rasimi toka kwa mh diwani doto msawa, na nakuwapandisha jaziba na hasira...
Mikutano ya hadhara imezoeleka kuvuta watu wengi. Mvuto huo wa watu wengi sijausahau tangu uchaguzi mkuu uliopita, lakini wahudhuriaji hawa walio wengi si wapiga kura, bali ni wazururaji, wasio na...
MARA nyingi tunawasikia watu wa Zanzibar wakiwemo viongozi wa siasa na dini wakizungumzia kile wanachokiita kero za Muungano.
Lakini ukichunguza utaona zipo kero nyingi ambazo sio za Muungano...
Nashauri ili kudhibiti mbinu za polisi kwa upande wa Dar es salaam maandamano yaanzie posta mpya na kwenda Wizara ya elimu. Na mikoani kama vile kule Arusha Mwanza na Mbeya nako yaanzie katikati...
Leo gazeti la Mtanzania (ambalo pamoja na Tanzania Daima) ndiyo pekee yanayoandika kwa kina ya kinachoendelea katika sakata la kupigwa kwa mwanahabari Absalom Kibanda limeandika kukosekana kwa ari...
Waziri Mkuu Pinda Peter Kayanza
"Tatizo lingine ni namna ambavyo mmekuwa mkiwashurutisha askari wa vyeo vya chini na kuwaadhibu katika amri ambazo mmetoa ninyi, hilo jambo sio zuri hata...
Hakuna kitu muhimu sana katika suala zima la utawala wa nchi kama kutumia maarifa ya kuzaliwa, kujifunza darasani na nje ya darasa, pia kutumia hekima na busara kutatua shida na matatizo ya jamii...
Jana niliweka bandiko kama hili lakini lilikuwa katika kujibu hoja ya mwanajamvi. Leo nimeona niongelee kwa kirefu hili suala la serikali kupinga kuwepo kwa maandamano pale wananchi wanapodai haki...
Wanajf naomba mwenye cv ya mbunge wa jimbo la Dodoma mjini aiweke hapa. Nimejitahidi sana kufatilia utendaji wake pamoja na uwepo wake na uchangiaji bungeni ni utata mtupu. Naombeni cv yake...
Kusema kweli nimesoma vitabu vya ma-great thinkers wengi toka afrika lakini naweza kusema tu kuwa sijaona mtu alieweza kumfikia huyu jamaa anayeitwa Abdulrahman Babu, yeye alikuwa ni profesa na...
Leo katika kipindi cha Tutashinda kinachorushwa na channel 10,mchungaji Lusekelo ambae hutoa mahubiri katika kipindi hicho ametoa kauli ambayo sidhani kama ni sahihi ila kama ina sahihi basi...
SIKU 19 zikiwa zimepita baada ya tukio la kutekwa na kuteswa kinyama kwa Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri na Mhariri Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya New Habari (2006) Ltd, Absalom Kibanda, Jeshi la...
Katika ngazi ya dunia kuna watu kama Cicero. Hawa ni watu wenye mvuto na uwezo wa ajabu wa kupanga mbinu, kujenga hoja na kutetea mipango. Inasemekana wana uwezo hata wa kumfanya mtu mwenye njaa...
Wadau naona kama kuna mkanganyiko wa tarehe rasmi ya maandamano kama ni leo tarehe 24/03/2013 au ni kesho tarehe 25/03/2013.Taarifa kwenye magazeti mbali mbali na hata hapa JF na ile ya idara ya...
Kwanza nawasalim
pili naomba kuwashauri kwakuwa polisi wamezuia maandamano yetu ya kesho kwa visingizio mbalimbali ikiwemo ya mchina kuja tanzania na ccm kufanya maandamano kesho hiyohiyo naomba...