Nyanya mbichi
JF-Expert Member
- Nov 10, 2011
- 3,716
- 2,221
Nakumbuka ilikuwa mwaka 2008 au 2009 katika kinyan'ganyiro cha kugombea nafasi ya Mwenyekiti wa UVCCM Taifa ndugu Nape alipojipambanua kuwa yeye ni mpambanaji wa ufisadi,na kudiriki kumlipua aliekuwa Mwenyekiti wa bodi ya Udhamini wa UVCCM ndugu Edward N. Lowasa
Swali: Je analizungumziaje au analichukuliaje lile jengo It was Wrong or Right uamuzi kwa ndugu E.Lowasa .Analiunga mkono au ?
Swali: Je analizungumziaje au analichukuliaje lile jengo It was Wrong or Right uamuzi kwa ndugu E.Lowasa .Analiunga mkono au ?