Wazee wa Nyasa wamuonya Banda

Tz iache kujitathmini kijesh kwa kutumia historia ya kushinda vita vya kagera. There was internal & external factors that led to Tanzania's victory. Kwa malawi naona ni tofauti. Tujitathmin vizuri vinginevyo tunaweza aibika. (ni vema huu mgogoro umalizwe ka diplomasia)
 
Yangu macho, nimeshakamilisha kahandaki kangu hapa NGYEKYE,kikinuka tu najichimbia na my family!
 
yaani kila naisi hawa jamaa watachukua ziwa letu mchana kweupeeee. maana maneno ya JK-ilaza yalionyesha hata hajui kwa nini watanzania tunatetea ziwa letu , kweli mungu saidia, dhaifu asigawe nchi yetu
 
Tz iache kujitathmini kijesh kwa kutumia historia ya kushinda vita vya kagera. There was internal & external factors that led to Tanzania's victory. Kwa malawi naona ni tofauti. Tujitathmin vizuri vinginevyo tunaweza aibika. (ni vema huu mgogoro umalizwe ka diplomasia)

Tunataka tukajitathmini kwanza DRC
 
Tz iache kujitathmini kijesh kwa kutumia historia ya kushinda vita vya kagera. There was internal & external factors that led to Tanzania's victory. Kwa malawi naona ni tofauti. Tujitathmin vizuri vinginevyo tunaweza aibika. (ni vema huu mgogoro umalizwe ka diplomasia)

Acheni uoga! Kwani Malawi wana nini cha kututisha? Diplomacy has failed na wao naona wanafikiria kwa kutumia MaCCM, sasa tufanyeje?
 
Malawi hawatakubali kidiplomasia kutuachia ziwa, labda tuende mahakamani au tulinde ziwa upande wetu maisha yaendeleee
 
Hatutaki vita kwasababu tutasaidia manyangau wa US na Ulaya kuuza silaha...ila kingne ni kwamba morali ya jeshi letu ni questionable na Mtu wa kuwahamasisha wapiganie nchi yao simuoni katika ufisadi huu....nadhani kitu cha msingi ni mazungmzo basi...wakigoma basi tuwahujumu
 
tuwahujumu kivipi mkuu? fafanua kidogo
 
"If men can not live as men, they must atleast die as men" J.K. Nyerere.
 
Wanajeshi wetu wengi wa siku hizi nao wanapenda kukaa maofisini.. jk nae ni mzee wa tabasam. tukizubaa tutanyang'anywa sehem yetu ya ziwa tunaona hvhv na hilo likifanikiwa litakua limedhihirisha udhaifu wetu kwa hiyo kutakua na possibility ya wengine kuja kumega eneo jingine tena na mwishowe tutabaki wakimbizi ndani ya nchi yetu kwa sababu kuwa na viongozi wanaochukulia kila kitu poa.
 
yaani kila naisi hawa jamaa watachukua ziwa letu mchana kweupeeee. maana maneno ya JK-ilaza yalionyesha hata hajui kwa nini watanzania tunatetea ziwa letu , kweli mungu saidia, dhaifu asigawe nchi yetu
kweli mkuu.
Tukibalia kwenye story za wazee kama zilie za Simba na Yanga mara "Maji ni ya Mwenyezi Mungu" na mengineyo tunapoteza kipande cha nchi yetu.

Enzi za Mwalimu kumshinda Iddi Amin ni tofauti na sasa ambapo waziri halali wa Mambo ya Ndani ya Nchi 'anadandia' maandamano ya waandishi wa habari kisha wanamzomea na kuondokam kichwa chini, hili lisingewezekana wakati wa Mwalimu.

Kwa bahati mbaya mno rekodi zetu za kimataifa in legal arguments zimeonekana kuwa mbaya mpaka kufikia mahali pa kutaka kuilipa kampuni ya DOWANS ambayo raisi amekiri hadharani kuwa haijui!!!! Kwa maana hiyo kesi ikienda huko wote tutasubiria maamuzi na endapo hayatatufavor ....nini kitafuata?

Ni kweli mkuu kama suala litapelekwa ICJ ni lazima tutapoteza maana Wabongo hatuko makini.Tutumie njia za kidiplomasia zaidi. Ikishindikana tujiandae kwa vita.
kweli mkuu.
Tukibalia kwenye story za wazee kama zilie za Simba na Yanga mara "Maji ni ya Mwenyezi Mungu" na mengineyo tunapoteza kipande cha nchi yetu.
Enzi za Mwalimu kumshinda Iddi Amin ni tofauti na sasa ambapo waziri halali wa Mambo ya Ndani ya Nchi 'anadandia' maandamano ya waandishi wa habari kisha wanamzomea na kuondokam kichwa chini, hili lisingewezekana wakati wa Mwalimu.
Kwa bahati mbaya mno rekodi zetu za kimataifa in legal arguments zimeonekana kuwa mbaya mpaka kufikia mahali pa kutaka kuilipa kampuni ya DOWANS ambayo raisi amekiri hadharani kuwa haijui!!!! Kwa maana hiyo kesi ikienda huko wote tutasubiria maamuzi na endapo hayatatufavor ....nini kitafuata?

Hatutaki vita kwasababu tutasaidia manyangau wa US na Ulaya kuuza silaha...ila kingne ni kwamba morali ya jeshi letu ni questionable na Mtu wa kuwahamasisha wapiganie nchi yao simuoni katika ufisadi huu....nadhani kitu cha msingi ni mazungmzo basi...wakigoma basi tuwahujumu

Malawi na Tanzania mna hela gani za kununua silaha?
 
Ni kweli mkuu kama suala litapelekwa ICJ ni lazima tutapoteza maana Wabongo hatuko makini.Tutumie njia za kidiplomasia zaidi. Ikishindikana tujiandae kwa vita.

Wa kuongoza vita ni hawa akina JK,Naodha,Mwamunyange na Shimbo? Makamanda na wapiganaji walio nenepeana vitambi?
 
Back
Top Bottom