Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Ndugu hapa kuna kituko kingine, mwalimu umemkamata mwanafunzi kwa kufeli,na kwa mujibu wa kanuni za awali, kabla ya kurekebishwa eti zilikosewa,mwanafunzi amerudia mwaka au kudisko kwa ngazi ya...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Wanabodi: Ni heshima kubwa kutoka kwangu kuja kwenu. Ni kuhusu hawa Vijana: Wa Kike na Wa Kiume Si nia yangu kuwaona kana kwamba hawa vijana wabovu au wasio na akili. Ni nia yangu na ni mapenzi...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Mchakato wa marekebisho ya kanuni za Bunge umeibua mjadala mkali baina ya wabunge, huku wengi wao wakieleza kuwa hatua hiyo ina lengo la kulifanya Bunge kukosa meno ya kuisimamia Serikali...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
  • Closed
ni bahati mbaya lakini imeshatokea kuwa tume ya katiba kwa kujua au kutojua inawahujumu wakatoliki kwa kuweka siku z kupigia kura ya kuwateua wajumbe wa mabaraza ya katiba ya wilaya katika siku...
1 Reactions
23 Replies
3K Views
Niko tayari kuendelea kubakia wa mwisho katika kukumbatia mchakato mbovu wa kuandika Katiba Mpya, mchakato uliobuniwa, kusimamiwa na kuratibiwa na CCM na ambao matokeo yake ni kuhakikisha kuwa CCM...
1 Reactions
21 Replies
2K Views
Za asubuhi wana JF. Naomba nianze kwa kumpa pongezi za kutosha shujaa wetu zitto kwa kupewa jukumu la kuendelea kuwaanika hadharani mafisadi kupitia PAC. Baada ya kufutwa kamati ya bunge ya...
6 Reactions
90 Replies
7K Views
BARAZA LA VIJANA LA CHADEMA (BAVICHA) IRINGA TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI Baraza la Vijana wa CHADEMA (BAVICHA) Mkoa wa...
2 Reactions
41 Replies
5K Views
Katika mtandao wake wa Twitter Zitto Kabwe as usual kaibuka na hoja ya kuwataka wabunge wajitolee posho yote ya siku moja kwa ajili ya Stars kama sehemu ya kupongeza ushindi wake wa hivi karibuni...
0 Reactions
26 Replies
4K Views
Mbunge wa Moshi mjini Mh.PHILEMONI NDESAMBURO kesho anatarajiwa kufanya mkutano wa hadhara katika viwanja vya SHABAHA mkabala na stendi kuu ya mabasi mjini moshi kuanzia saa nane mchana kuongea na...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Jana,kulifanyika kikao hapa Ofisi Ndogo za CCM-Lumumba cha kutathmini hali ya kisiasa hapa nchini kwa hivi sasa na kuandaa mwongozo wa kipi kifanywe na Wabunge wa CCM ilimkuhakikisha Bajeti ya...
5 Reactions
30 Replies
3K Views
Matukio yanayoendelea nchini kwa baadhi ya watu kutekwa na kuumizwa vibaya yanaaksi nguvu na mbinu zinazotumiwa na makundi ya kisiasa aidha kwa kulipiza visasi au kudhibiti mipango ambayo...
2 Reactions
8 Replies
1K Views
Ukiangalia clip hii, huyu Mwana CUF Omar Mussa Makame anaamrisha hadharani Zanzibar waunde vikundi vya kiharamia. Dakika ya 3.40 na kuendelea. Polisi/Usalama wa Taifa Double standards?
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Wakuu heshima kwenu naomba kufahamu ni radio gani au tv gani inarusha bunge live?? Mwenyekufahamu tafahdhali.
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Ndugu wanabodi, Ni masikitiko yangu kupitia jukwaa hili. Juzi kata hii ilikuwa wanafanya mahojiano na wajumbe kutoka vijiji vitatu vinavyounda kata hii, Cha ajabu ni kwamba kila mtu aliyekuwa...
2 Reactions
12 Replies
2K Views
KAGAME AT HARVARD BUSINESS SCHOOL YESTERDAY: He said,"People of Rwanda know what they want, how they want it. They don't need anybody to hold their hands and say I must take you there. At some...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
RAIS wangu, jengo la ghorofa 16 limeanguka lakini serikali bado imesimama. Ni kipi kianguke kitoshe serikali kuanguka? Nyakati hizi zetu kusema serikali...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
KWA binadamu wanaozaliwa na mwanamke, wakaishi, wakafanya mambo yao, wakifa inaleta kihoro na msiba kwa watu wengi. Lakini wapo wengine ambao utamani kuamini walizaliwa na mwanamke wakaishi...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Naomba tujadili kwa pamoja fikira yangu kuwa nadhani imefikia wakati sasa na hasa katika katiba hii mpya kuwa MAWAZIRI wawe waajiriwa kulingana na professionalism na siyo wabunge kuteuliwa kuwa...
0 Reactions
0 Replies
939 Views
HATIMAYE Naibu Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Bara, Mwigulu Nchemba, amekiri kuhusika na video inayomwonesha Mkurugenzi wa Ulinzi na Usalama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo...
2 Reactions
57 Replies
8K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…