Tamko la CHADEMA na dhana ya MwanaHalisi

Wingu

JF-Expert Member
Joined
Jan 14, 2011
Posts
4,318
Reaction score
408
Ukiangalia kwa makini tamko la CHADEMA lililotolewa na kada wao Marando kuhusiana na haya mambo ya Ugaidi ni dhahiri wazi mfumo wake ni wa Mwanahalisi zaidi.Kwa maana ya kwamba CHADEMA sio wao walioandaa ile report bali wamewatumia Mwanahalisi kufanya mambo yao.

Haiwezekani Chama kisijue namba ya Naibu katibu mkuu mpaka tamko linatoka.Ndo hapo sasa napata wazo kwamba Marando alienda pale kusoma tu na wala hajui chochote kinachoendelea na nani aliyeandaa ile taarifa.
 
Kuna ubaya wowote? Maudhui yatabadilika?
 
Ukiangalia kwa makini tamko la Chadema lililotolewa na kada wao Marando kuhusiana na haya mambo ya Ugaidi ni dhahiri wazi mfumo wake ni wa Mwanahalisi zaidi.Kwa maana ya kwamba Chadema sio wao walioandaa ile report bali wamewatumia Mwanahalisi kufanya mambo yao.Haiwezekani Chama kisijue namba ya Naibu katibu mkuu mpaka tamko linatoka.Ndo hapo sasa napata wazo kwamba Marando alienda pale kusoma tu na wala hajui chochote kinachoendelea na nani aliyeandaa ile taarifa.

Hivi kila Uzi wa Kuiponda CDM huwa unalipwa shilingi ukisharudi pale Lumumba?
 
Mbona boss wenu Kikwete huwa anasoma hotuba ambazo hajui maudhui wala uhalisia wake na baadaye anagundua alidanganywa, au hujui hilo???

Pia gazeti la Mwanahalisi mmelifungia hivyo hoja yako inabakia kuwa ni ya KIPUMBAVU kwa kuwa unaongelea gazeti ambalo haliko kazini
 
Mbona boss wenu Kikwete huwa anasoma hotuba ambazo hajui maudhui wala uhalisia wake na baadaye anagundua alidanganywa, au hujui hilo???

carelessness.jpg
 
Ukiangalia kwa makini tamko la Chadema lililotolewa na kada wao Marando kuhusiana na haya mambo ya Ugaidi ni dhahiri wazi mfumo wake ni wa Mwanahalisi zaidi.Kwa maana ya kwamba Chadema sio wao walioandaa ile report bali wamewatumia Mwanahalisi kufanya mambo yao.Haiwezekani Chama kisijue namba ya Naibu katibu mkuu mpaka tamko linatoka.Ndo hapo sasa napata wazo kwamba Marando alienda pale kusoma tu na wala hajui chochote kinachoendelea na nani aliyeandaa ile taarifa.
Kwanini mnang'ang'aniza kuwa ile namba ni ya Zitto?? Haya maneno mmeyatoa wapi mbona mnavichwa vigumu hivi??? Marando alisema namba ni ya Jack Zoka na Zitto alisema ile namba alishaitelekezaga miezi kumi iilopita. Kwa maelezo haya mawili wewe wawezaje sema ile ni namba ya Zitto na unawezaje kusema Marando aliandika namba ya Zitto mle??? Hebu someni kilichoandikwa msitumie intuition humu. Hii hoja ni Null and Void na inafaa kutupiliwa mbali.
 
Mtoa huzi, nina wasiwasi na akili yako; Marando amefanya kazi ya ushushushu miaka mingi na alikuwa ngazi ya juu sana. M2 wa namna hii si wa kuletewa ripoti asome kama ilivyo kwa baba yako alopelekwa Ubungo kukagua mitambo ya ufuaji wa umeme wakati yeye sio Engineer na wala hakwenda na Engineer yeyote kufanya ukaguzi.
Jitahidi basi uwe unasoma vitabu mbalimbali ili walau akili yako iweze kufunguka.
 
Mimi sina shida na nani aliyefanya uchunguzi, iwe ni Mwanahalisi au gazeti gani sijui au Marando mwenyewe, cha muhimu kwangu ni , Serikali imehusika na ndio maana mara baada ya report ile kuwekwa mezani na Marando, yafuatayo tumeyasikia, kwanza, Jumatatu, keshi imefanyika FARAGHA na serikali imepiga mkwara wamiliki wa makampuni ya simu na tatu, Mwigulu kawa mpole kama ile issue yake ya kutishiwa kuawa ya sms wakati ule, kumbuka ni Marando mwenyewe aliyeka wazi! So kwangu mimi kikubwa ni story na sio nani kaleta story.
 
Ukiangalia kwa makini tamko la Chadema lililotolewa na kada wao Marando kuhusiana na haya mambo ya Ugaidi ni dhahiri wazi mfumo wake ni wa Mwanahalisi zaidi.Kwa maana ya kwamba Chadema sio wao walioandaa ile report bali wamewatumia Mwanahalisi kufanya mambo yao.Haiwezekani Chama kisijue namba ya Naibu katibu mkuu mpaka tamko linatoka.Ndo hapo sasa napata wazo kwamba Marando alienda pale kusoma tu na wala hajui chochote kinachoendelea na nani aliyeandaa ile taarifa.

We una akili za panzi kweli
 
Embu kuwa muwazi Chadema hawajaweka namba ya katibu mkuu..wameweka namba iliyowahi kuwa ya katibu mkuu,ambayo kwa uchunguzi wao imeonekana kuwa inatumiwa na mtu anayeitwa Jack Zoka..sasa hauelewi nini hapa
 
Kwa wenye akili timamu wameshaunganisha dot ila kwa nyie wenye akili za kwendea chooni mtaona vumbi tu

Sibishani na kenge mimi naona ripoti imewachanga mno,vp na cd iliyorekodiwa wakitaka kuhongo maofisa wetu tumepewa na Mwanahalisi?????usifikirie chini ya pua tu
 
Umesahau mkuu na kesi inatupwa kwa kukosa ushahidi.

Mimi sina shida na nani aliyefanya uchunguzi, iwe ni Mwanahalisi au gazeti gani sijui au Marando mwenyewe, cha muhimu kwangu ni , Serikali imehusika na ndio maana mara baada ya report ile kuwekwa mezani na Marando, yafuatayo tumeyasikia, kwanza, Jumatatu, keshi imefanyika FARAGHA na serikali imepiga mkwara wamiliki wa makampuni ya simu na tatu, Mwigulu kawa mpole kama ile issue yake ya kutishiwa kuawa ya sms wakati ule, kumbuka ni Marando mwenyewe aliyeka wazi! So kwangu mimi kikubwa ni story na sio nani kaleta story.
 
Said kubenea alikuwa bingwa wa kutengeneza habari za uwongo
 
wingu katumwa na nape na cashier wao waambie waliokutuma watanzania wameshajua anayewang'oa meno
 
Back
Top Bottom