NCCR imeimarika kuizidi CUF

NCCR imeimarika kuizidi CUF

DOMA

JF-Expert Member
Joined
Mar 17, 2011
Posts
944
Reaction score
367
Kwa mwenendo wa sasa wa bunge na siasa za Tanzania Nccr imeonekana inaimarika na kuwa na wabunge makini zaidi kuliko cuf kwa hapa nchini. Hivyo kinaweza kuwa nafasi ya tatu nyuma ya Chadema na Ccm kwa umakini
 
CHADEMA? wabunge makini wakina nani hao? Sugu, Msigwa? Ndio maana nchi hii haendelei!
 
NCCR tawi la CCM, tangu lini mwenyekiti wa CCM akamteua mbunge wa upinzani? wakati chama tawala kinapigana kupunguza idadi ya wabunge wa upinzani? divide and rule.
 
Njoo jiunge na chama chetu cha PONA hao wote wababaishaji si CCM wala M4C
 
NCCR tawi la CCM, tangu lini mwenyekiti wa CCM akamteua mbunge wa upinzani? wakati chama tawala kinapigana kupunguza idadi ya wabunge wa upinzani? divide and rule.

umeona eee hilo ni tawi tena inabidi wawabadilishie bendera
 
CUF sasa hivi ni kama popo. Nusu upinzani na nusu sehemu ya serikali ya CCM. kwa ufupi CUF sasa sio chama cha upinzani. Kinapinga nini wakati kipo ndani ya serikali?!
 
Back
Top Bottom