Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Yaani wewe Eng Hersi Said . boss wako atoe billion 10 kwa Ccm then wewe wakunyime ubunge ? Aliyepo nyuma ya maanguko yako ni huyo Boss wako Gharib anataka uendelee kukaa hapo unamtimizia malengo...
1 Reactions
1 Replies
271 Views
Kwa kweli mi kama mwanachama wa chama cha mapinduzi ambaye nilidhani ujio wa Magufuli utairejesha CCM katika hali kama ilivyoheshimika wakati wa baba wa taifa, nimeona kama vile bado CCM haijawa...
3 Reactions
30 Replies
3K Views
Waziri wa kuwa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) na Mbunge wa Kikwajuni Zanzibar, Hamad Yusuf Masauni ameeleza mafanikio yaliyopatikana katika kipindi cha miaka mitano (2020-...
0 Reactions
0 Replies
416 Views
Mfano siku 3 kabla ya uchaguzi, mgombea wa UDP au TLP wa nafasi ya uRais akang’ata shuka.., utaratibu ni kuahirisha uchaguzi au inakuwaje.. Utaratibu wa kikatiba unasemaje?
3 Reactions
52 Replies
3K Views
Wakuu, Wananchi wa Kijiji cha Rwamgasa, Wilaya ya Geita, wamechoma moto sehemu ya pori la akiba lililopo katika Kitongoji cha CCM wakipinga kile walichokiita uonevu na ukatili unaofanywa na...
8 Reactions
13 Replies
2K Views
Mbunge wa Buchosa, Eric Shigongo, amesema kuwa barabara za sasa ni bora zaidi kuliko za miaka iliyopita, ambapo zamani ilichukua hadi saa 9 kusafiri kutoka Buchosa hadi Mwanza Mjini. Shigongo...
3 Reactions
18 Replies
1K Views
Wasomaji jibuni swali Huyu jamaa atakuwa na mazingira Gani? ENDAPO Tundu Antipusi Mugwai Lissu atakuwa Rais? Sijui kwa Nini ila CCM imepoteza dira za watanzania wengi Jamaa kweli analipwa...
3 Reactions
24 Replies
1K Views
Haya mabilioni ya shilingi zenu njoeni muwekeze Mwanza mjenge Hospital ya hadhi ya nyota tano hafu mjenge chuo kikuu kikubwa Sana
0 Reactions
1 Replies
487 Views
Hili ni wasilisho lenye maswali magumu yanayohitaji maelezo ya kiina kuhusu kukamatwa, kutekwa na kuteswa kwa @bonifacemwangi na Agather Atuhaire @un_sp_experts kupitia @unhrcommittee wanahitaji...
1 Reactions
4 Replies
443 Views
Amani muswano mtanzania. Katika jambo nililojiuliza ni moja, kwa nini Lissu?. Nimepitia mijadala mingi na kujipa jibu, kwamba kumbe hatukuwahi kuwa na kiongozi wa kisiasa anayetaka kuiondoa CCM...
20 Reactions
15 Replies
2K Views
Mzee, wewe ni moja ya watu muhimu sana waliobakia katika taifa hili tunapozungumzia suala la uzalendo. Nimekuona hapo msibani kwa Ndugai, nashindwa kukutumia ujumbe wa SMS kupitia simu yako...
46 Reactions
178 Replies
12K Views
Miaka ya 1970 - 1990. Enzi za utawala wa Nyerere hadi alipoachia 1985 hadi awamu ya kwanza ya utawala wa awamu ya pili, wa Rais Mwinyi, Tanzania ilikuwa, moja imara, na yenye upendo mkubwa. Kila...
2 Reactions
16 Replies
674 Views
Watanzania tuviamini vyombo vya ulinzi vya Tanzania. Martha Karua alirudishwa kenya kwa usalama wake kuna wakenya walitaka kumuua Tanzania kwa sababu ya kuchochea mauaji ya wajaluo Kenya...
2 Reactions
17 Replies
670 Views
Kikao cha juzi cha walanguzi wa nchi kimetuthibitishia kitu kimoja. Sasa hivi tuna mtu aliyetayari kuuza Ikulu yetu, wakati hapo nyuma tulikuwa na Rais aliyeamua kutwaa pesa za wezi na walanguzi...
27 Reactions
50 Replies
3K Views
Wadau Ninaomba tujadiliane hapa! Mama SSH aliingia awamu moja na Magu na akatumikia kipindi cha kwanza kama makamu wa rais na kipindi cha pili (miezi minne) kama rais. Jumla ni vipindi viwili...
0 Reactions
1 Replies
221 Views
Chini ya uongozi wa Rais Dkt Samia sekta ya bandari kupitia uwekezaji wa DP World imepata mageuzi makubwa. Ufanisi wa Bandari ya Dar es Salaam umeongezeka kwa kiwango cha kihistoria, gharama za...
1 Reactions
9 Replies
530 Views
Machawa wanaweza kuchukulia simple, lakini tuwakumbushe ata Gadaff, Hussein Mubarak,Bashar al Hasad, Idd Amin walichukulia mambo simple. Huyu bwana mdogo Nassoro Katuga, tunamjua in and out toka...
100 Reactions
238 Replies
12K Views
Rais Samia Suluhu Hassan June 05, 2023 kwenye chakula cha jioni alichowaandalia Yanga kuwapongeza kwa hatua waliyofikia ya kucheza Fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika (CAF) alitoa kauli hii...
0 Reactions
8 Replies
646 Views
Kwema Wakuu! Ingawaje Mimi ni mtibeli msabato lakini hiyo hainifanyi nisione mazuri ya madhehebu na dini zingine. Sisi wasabato tunajinadi na huenda kwa sehemu tunajulikana kwa kufuata maandiko...
7 Reactions
15 Replies
953 Views
Back
Top Bottom