KAMA SI PETER SERUKAMBA,NINGEMCHAGUA NANI?
Ni Aprili nyingine.Na Dodoma ndiyo habari ya mjini kwa sasa.Ni habari za Bunge!Wabunge wetu wapendwa wapo Dodoma "kututengenezea maisha"kupitia...
Chama cha Demokrasia na maendeleo - CHADEMA, ni miongoni mwa taasisi zenye maendeloe makubwa (kwa dhana ya uanzishwaji wake) sana, pia ni mojawapo ya taasisi zilizochangia kwa kiasi kikubwa sana...
kamanda anafunguka pale.
Anasema Tanzania tuna Pamba, Korosho, Kahawa, gas , mafuta, uraniam, Tanzanite, mlima wa pili kwa urefu duniani, mbuga za wanyama kubwa kabisa duniani, hali ya hewa...
Nimemsikiliza wakati akihojiwa na waandishi wa habari jana katika ufunguzi wa mkutano wa Mawaziri wa AU. Sasa kama analijua hilo kwanini Kampeni zake za mwaka 2010 ziliwagawa Watanzania mpaka...
WATEKAJI na watesaji wa Mwenyekiti wa Jumuiya ya Madaktari Nchini, Dk. Stephen Ulimboka, na Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri (TEF), Absalom Kibanda, wanaendelea kuwa kitendawili baada ya Jeshi...
Kwa mara nyingine tena,wakazi wa mji wa Njombe na vitongoji vyake wanatarajia kufurika kwa wingi katika uwanja wa National Housing siku ya alhamisi ya tarehe 25.April,2013 wakati Dr.Slaa na timu...
Kwanini CHADEMA haina marafiki na nchi za kiarabu?
Rafiki wa CHADEMA kwa sasa ni;-
Ujerumani: wapenda Vita na kuitawala dunia
Marekani: Wababaishaji wa Demokrasia
WAZUNGU KWA UJUMLA NDIO...
Wanajamii,
Binadamu tumeumbwa na uwezo wa Kukumbuka na Kusahau.
Kuna mambo ambayo ni vyema kuyasahau. Pia kuna mambo ambayo hatupaswi kuyasahau.
Tutumie nyenzo ili kukumbuka mambo ambayo...
KITUO cha Uwekezaji Tanzania (TIC) kimesajili miradi 7,012 yenye thamani ya dola bilioni 60 za Marekani, iliyotoa fursa za ajira kwa Watanzania 10,029,737. Hayo yalibainishwa bungeni hapa jana na...
Kwa heshima nyingi naomba yeyote mwenye uwezo wa ku-upload sheria kanuni katiba ya kuendesha bunge letu pale mjini Dodoma aiweke hapa ili tuweze kuziona hizo sheria na kanuni, mamlaka ya spika...
Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Mhe. Philipo Mulugo
Na Benedict Liwenga-Maelezo, Dodoma.
SERIKALI imetenga shilingi Bilioni 326.0 katika mwaka wa masomo 2012/2013 kwa ajili ya...
CCM Arusha imegawa sh. Milion 42 kila kata itakayogombewa udiwani,hizi kazi yake kulaanisha wapiga kura.
Chanzo mimi mwenyewe niko kwenye kamati ya kampeni ya watu 10 upande wa CCM.
Kwa miaka mingi sana nimekuwa nikisikia viongoz mbalimbali wa serikali wakilalamika kwamba wafanyabiashara hawalipi kodi au makusanyo ya kodi ni hafifu. Last week nilimsikia Kiongoz wa serikali...
Na John Bukuku, Morogoro
HAKIKA kwa muda mrefu Chama Cha Mapinduzi(CCM), kimekuwa kikijaribu kujiweka katika mazingira mazuri zaidi kisiasa.Hata hivyo licha ya kufanikiwa kwa kiwango fulani...
JK atuma rambirambi tetemeko la China: RAIS Jakaya Kikwete amemtumia salamu za rambirambi Rais wa China, Xi Jinping kutokana na msiba ulioipata nchi hiyo wa vifo vya watu zaidi ya 150. Vifo...
Dongo Hilo limepigwa kwa Mheshimiwa Mnyika, Ndani Ya Bunge sasa hivi.
Maskini Mwigulu Nchemba!
hivi huyu ndugu yetu hana jambo jengine la kuzungumza bungeni kwa sasa zaidi ya suala la...
Ameitaja CHADEMA 16 NA CCM 12 Kwenye taarifa yao hii iliyotoka uhuru na ipo pia kwenye blog yao:
CCM wanavyosaidiakueneza chadema :
Asema viongozi wakewamekubuhu wa ubinafsi
*Wanajali...
Hamjambo?
Wengi wenu nadhani mtakuwa mmeiona mara kwa mara orodha ya ahadi kede kede alizowahi kutoa mheshimiwa Jakaya kikwete katika kampeni zake za kuingia Ikulu kwa ngwe ya pili. Ahadi nyingi...