Egnecious
JF-Expert Member
- Jul 8, 2015
- 899
- 999
Chini ya uongozi wa Rais Dkt Samia sekta ya bandari kupitia uwekezaji wa DP World imepata mageuzi makubwa.
Ufanisi wa Bandari ya Dar es Salaam umeongezeka kwa kiwango cha kihistoria, gharama za uendeshaji zimepungua,mapato ya serikali ymeongezeka kwa kasi.
Moja ya mafanikio makubwa ni kupungua kwa muda wa meli kukaa bandarini.
Hivi sasa, meli hukaa siku 3 hadi 7 pekee kulingana na kiasi cha mzigo, ikilinganishwa na wastani wa siku 46 kabla ya maboresho haya.
Mabadiliko haya yameongeza ushindani wa bandari yetu katika ukanda wa Afrika Mashariki, kuvutia zaidi biashara ya kikanda na kimataifa, na kutoa ishara wazi kwamba Tanzania ni kitovu cha usafirishaji salama, cha haraka, na chenye gharama nafuu.
Bila shaka, hii ni ushahidi wa dhahiri kwamba Mama Samia amefanikisha mageuzi makubwa na ya kimkakati kwa manufaa ya Taifa.