GE2025 Hakika Lissu ndiye ataweza, Mbowe hakutegemea hiki

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

TODAYS

JF-Expert Member
Joined
Apr 30, 2014
Posts
15,265
Reaction score
25,539
Amani muswano mtanzania.

Katika jambo nililojiuliza ni moja, kwa nini Lissu?.

Nimepitia mijadala mingi na kujipa jibu, kwamba kumbe hatukuwahi kuwa na kiongozi wa kisiasa anayetaka kuiondoa CCM kiringeni.

Wote hawa ni sinema tu.
Siku Lissu alipovaa jacket la kuzuia risasi nikaelewa, siku Lissu anasema sipambani na mbwa nitapambana na mwenye mbwa nikaelewa.

Sasa basi, CCM wamepima maji kutokana na siasa za maji taka na katiba kuwa bin dhoofu wakaona isiwe taabu, huyu anaweza kuchukua nchi kweli maana kadhamilia, wakamkaba.

Inshort; Lissu ndiye mpinzani wa kweli kwa sasa na hakuna mwingine.
 
Nchi nzima tangu uhuru hakuna mpinzani kama Lissu. Hajawahi kutokea. Chadema ikifa itadhibitisha nchi nzima mpinzani alikuwa ni Lissu.

Nashauri akubali mashataka ya kusingiziwa, ahukumiwe kunyongwa, anyongwe afe, damu yake ibaki kama shamba darasa la KUJIFUNZA nini maana ya mtu KUWA mpinzani. Kwake hii kazi ni rahisi maana alishawahi kufa akafufuka.
 
Hakika
 
Lisu angeendelea na mikutano yake mikoa yote kwa kweli CCM wangepata ushindani mkubwa sana.
 
Amani muswano mtanzania.

Katika jambo nililojiuliza ni moja, kwa nini Lissu?.

Nimepitia mijadala mingi na kujipa jibu, kwamba kumbe hatukuwahi kuwa na kiongozi wa kisiasa anayetaka kuiondoa CCM kiringeni.

Wote hawa ni sinema tu.
Siku Lissu alipovaa jacket la kuzuia risasi nikaelewa, siku Lissu anasema sipambani na mbwa nitapambana na mwenye mbwa nikaelewa.

Sasa basi, CCM wamepima maji kutokana na siasa za maji taka na katiba kuwa bin dhoofu wakaona isiwe taabu, huyu anaweza kuchukua nchi kweli maana kadhamilia, wakamkaba.

Inshort; Lissu ndiye mpinzani wa kweli kwa sasa na hakuna mwingine.
Screenshot_20250613-122647~2.png
 
Nchi nzima tangu uhuru hakuna mpinzani kama Lissu. Hajawahi kutokea. Chadema ikifa itadhibitisha nchi nzima mpinzani alikuwa ni Lissu.

Nashauri akubali mashataka ya kusingiziwa, ahukumiwe kunyongwa, anyongwe afe, damu yake ibaki kama shamba darasa la KUJIFUNZA nini maana ya mtu KUWA mpinzani. Kwake hii kazi ni rahisi maana alishawahi kufa akafufuka.
Ni kazi ngumu sana kuiua maiti inayotembea ,CCM wanajisumbua tu Lisu ni sawa na kivuli ,huwezi kupambana nacho ukashinda
 
Ukitaka kupambana na Lissu hakikisha kwanza kichwani uko timamu pia huna makandokando.

Zile pesa chafu za Abdul alizokuwa anazisema January zinalazimishwa kuingizwa CHADEMA ndio hizo mnaziona chama cha ubwabwa sasa na masalia yake kutoka CHADEMA baada ya project kufeli.
 
Ukingalia toka vyama vingi vianze, wamepita wengi ila sehemu kubwa walikuwa mamluki, list ni ndefu, wachache kwa majina kuna Mrema, Zitto, Slaa, Msigwa, Peneza, Nasari, Lipumba, Mbowe na vijana wake. Lissu pekee kasimama mpaka leo, mda ndio msema kweli, tuone pia kwake.
 
Chadema zamani kiliitwa Chagadema kwa sasa hakuna tena propaganda hiyo.
 
Back
Top Bottom