Hi great Thinkers.
Kuelekea 2025 Naomba tuwape Taarifa wabunge amabao hawarudi bungeni wajiaandae kisaikolijia Japo baadhi wamesha declare..
Tuna Wabunge wengi zaidi ya 300 ila mimi naanza na...
Nawakumbusha tuu Samia Suluhu Hassan ni Suluhu ya matatizo ya Watanzania.
1.Azindua mradi wa Maji Butimba 71bln
2.Azindua mradi wa Maji Lamadi.12.8bln
3.Aweka Jiwe la Msingi Mradi wa Maji...
Kutoka Huko Youtube leo naona Kuna unabii Mkubwa sana kuelekea uchaguzi mkuu ambao unatarajiwa kufanyika Octoba mwaka Huu.
Nimekuta video ya Mtu wa Mungu Nabii Philbert akitabiri mambo mazito...
Maafisa Waandamizi wa Jeshi la Polisi Nchini wameazimia kuhakikisha kuwa uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025 unafanyika katika hali ya amani, utulivu na usalama na kwamba hawatamuonea muhali mtu yeyote...
Ni sawa na kusema Wagombea sasa washindwe wenyewe! hi ni baada ya wananchi kutoa ushauri kwao kuelekea kipindi cha kampeni.
Wakizungumza ndani ya kipindi cha Kijiweni cha Daily News Digital...
Bila shaka kibwagizo cha wimbo tuliipenda wenyewe, kinaendelea kujidhihirisha kwa kasi ya 5G.
Mungu atupatie uhai tushuhudie yatakayotokea nchini.
HIVI NINI MAANA YA STATE CAPTURE?
Sasa Mpina angefanya nini katika hali kama Ile?
Pale Samia Suluhu ndio alionyesha udikteta wake.
Bila sababu jina la Mpina limeondolewa,watu jimboni kwake imeonekana kama vile hawakupendezewa ...
Kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Mkurugenzi Mtendaji wa Manara TV, Haji Manara , ameibuka kidedea katika kura za maoni za kuwania nafasi ya Udiwani katika Kata ya Kariakoo, jijini Dar es...
Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Arusha kimeingia katika hatua mpya ya mchakato wa uchaguzi, huku hali ya kisiasa ikichukua sura mpya baada ya kutangazwa kwa majina ya wagombea 160 kutoka Kata...
Yaani wewe Eng Hersi Said . boss wako atoe billion 10 kwa Ccm then wewe wakunyime ubunge ?
Aliyepo nyuma ya maanguko yako ni huyo Boss wako Gharib anataka uendelee kukaa hapo unamtimizia malengo...
Kwa kweli mi kama mwanachama wa chama cha mapinduzi ambaye nilidhani ujio wa Magufuli utairejesha CCM katika hali kama ilivyoheshimika wakati wa baba wa taifa, nimeona kama vile bado CCM haijawa...
Waziri wa kuwa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) na Mbunge wa Kikwajuni Zanzibar, Hamad Yusuf Masauni ameeleza mafanikio yaliyopatikana katika kipindi cha miaka mitano (2020-...
Mfano siku 3 kabla ya uchaguzi, mgombea wa UDP au TLP wa nafasi ya uRais akang’ata shuka.., utaratibu ni kuahirisha uchaguzi au inakuwaje..
Utaratibu wa kikatiba unasemaje?
Wakuu,
Wananchi wa Kijiji cha Rwamgasa, Wilaya ya Geita, wamechoma moto sehemu ya pori la akiba lililopo katika Kitongoji cha CCM wakipinga kile walichokiita uonevu na ukatili unaofanywa na...
Mbunge wa Buchosa, Eric Shigongo, amesema kuwa barabara za sasa ni bora zaidi kuliko za miaka iliyopita, ambapo zamani ilichukua hadi saa 9 kusafiri kutoka Buchosa hadi Mwanza Mjini.
Shigongo...
Wasomaji jibuni swali
Huyu jamaa atakuwa na mazingira Gani?
ENDAPO Tundu Antipusi Mugwai Lissu atakuwa Rais?
Sijui kwa Nini ila CCM imepoteza dira za watanzania wengi
Jamaa kweli analipwa...
Hili ni wasilisho lenye maswali magumu yanayohitaji maelezo ya kiina kuhusu kukamatwa, kutekwa na kuteswa kwa @bonifacemwangi na Agather Atuhaire
@un_sp_experts kupitia @unhrcommittee wanahitaji...
Amani muswano mtanzania.
Katika jambo nililojiuliza ni moja, kwa nini Lissu?.
Nimepitia mijadala mingi na kujipa jibu, kwamba kumbe hatukuwahi kuwa na kiongozi wa kisiasa anayetaka kuiondoa CCM...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.